Home Authors Posts by Abubakar

Abubakar

1083 POSTS 0 COMMENTS

KOCHA WA YANGA AJIUNGA NA LUPOPO

1
KOCHA aliyewahi kuifundisha Yanga msimu 2020, Luc Eymael ametambulishwa kwenye kikosi cha FC Lupopo ya DRC Congo anakochezea mtanzania, Abdallah Shaibu 'Ninja. Lupopo hivi karibuni...

HATIMAYE MAYELE ATUA REAL MADRID…ABEBA TAJI LA UEFA

0
Mshambuliaji wa Klabu ya Pyramids FCya nchini Misri na timu ya Taifa ya Congo DR, Fiston Kalala Mayele siku ya leo ametembelea uwanja wa...

WATATU SIMBA KUIKOSA DODOMA JIJI LEO

0
Kikosi cha Mnyama, Simba SC, kiliwasilia Jijini Dodoma kwa ajili ya mchezo wa raundi ya nne wa Ligi Kuu Bara. Katika mechi hii, Simba SC...

SIMBA KUIKABILI DODOMA JIJI KWA HESABU NZITO LEO.

1
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa mchezo wao ujao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Dodoma Jiji wataukabili kwa hesabu kubwa ya kupata pointi...

GAMONDI AMALIZA UTATA… SIMCHUKII BALEKE

0
Kocha mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amemaliza utata kwa kutoa sababu zinazomfanya mshambuliaji mpya, Jean Baleke aliyeibua maswali kwa mashabiki na wapenzi wa klabu...

YANGA YATUMA SALAM KWA KINO BOYS

0
UONGOZI wa Yanga umewaingiza kwenye mtego wapinzani wao KMC kuelekea kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex kwa kuwaambia...

AJIBU AFUNGUKA MAZITO KUHUSU SIMBA…HATUWAOGOPI

0
KIUNGO mshambuliaji wa Dodoma Jiji, Ibrahim Ajibu amesema mechi dhidi ya Simba itakayopigwa kesho Jumapili jijini Dodoma, haina utofauti na mechi zingine ambazo wamecheza...

CAF KUFUTA KOMBE LA SHIRIKISHO

0
Rais wa shirikisho la soka Barani Afrika  CAF, Patrice Motsepe ameweka wazi mpango uliopo wa kuyafuta mashindano ya kombe la Shirikisho Barani Afrika kwa...

LEONEL ATEBA APANDISHA MZUKA…ANATAKA MAKOMBE SIMBA

1
STRAIKA mchana nyavu Leonel Ateba ameweka wazi kwamba msimu huu pale Msimbazi kuna kombe linatua na haitashangaza kwamba watalichukua kutoa wapi, ingawa kwa sasa...

KAZI IMEANZA… GAMONDI AWAITA CHEMBA DUBE NA MZIZE

1
Yanga ilipata ushindi mwembamba wa bao 1-0 dhidi ya vibonde wa Ligi Kuu Bara, KenGold, kitu ambacho kimemfanya Kocha Miguel Gamondi ajiulize mara mbilimbili...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS