Home Authors Posts by Abubakar

Abubakar

1085 POSTS 0 COMMENTS

SIMBA YASHUSHA MKATA UMEME…TAKWIMU ZAKE ZA MOTO

0
KLABU ya Simba imekamilisha usajili wa kiungo mkabaji, Augustine Okejepha, 20, akitokea Rivers United ya Nigeria. Kiungo huyo raia wa Nigeria, anajiunga na Simba kipindi...

AL HILAL YAMCHUKUA KRAMO WA SIMBA…SABABU NI HIZI

0
SIMBA Wamefikia makubaliano na Mchezaji wake Aubin Kramo, kumtoa kwa mkpo kwenda kucheza Al Hilal ya Sudan, hii ni baada ya mvutano wa muda...

SIMBA YATUA KWA AWESU..YANGA INAMTAKA MATANIAH

0
Simba inadaiwa kuwa mbioni kukamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji Awesu Awesu kutoka KMC kwa mkataba wa miaka miwili. Mchezaji huyo anakaribia kujiunga na Simba baada...

ALIYETAMBULISHWA SIMBA AZUA BALAA ZITO…VALENTINO MASHAKA

0
Wakati Geita Gold ikiijia juu Simba kumtambulisha mchezaji Valentino Mashaka ikidai hawakufuata utaratibu kwa madai bado ni mali yao, nyota huyo ameiruka timu hiyo...

SIMBA KAMA MASANDAWANA TU…BENCHI ZIMA WANATOKA AFRIKA KUSINI

0
Kocha Fadlu Davids ametangazwa kuwa kocha mkuu wa Simba SC, baada ya kufikia makubaliano na uongozi wa klabu hiyo. Kocha huyo raia wa Afrika Kusini...

YALIYOJIRI DUA YA YANGA JANGWANI..HERSI AONGOZA MAMIA KUMUOMBEA MANJI

0
RAIS wa Yanga, Injinia Hersi Said ameongoza dua maalumu ya kumuombea aliyekuwa mwenyekiti na mfadhili wa klabu hiyo, Yusuf Manji ambaye alifariki na kuzikwa...

YANGA YATUA KA MKATA UMEME…ANATOKA DR CONGO

0
Klabu ya Yanga iko mbioni kumshusha nchini mkata umeme kutoka DR Congo, Onoya Sangana Charve, anayeichezea Klabu ya AS Maniema, ili kuongeza nguvu kwenye...

SABABU ZA KUCHELEWA UTAMBULISH WA BEKI WA YANGA..CHADRACK BOKA

0
BEKI WA KUSHOTO fundi kabisa Chadrack Boka (24) ndiye mchezaji wa 1 kusajiliwa na Yanga SC 2024|25. Chadrack Boka amesaini mkataba wa miaka miwili na...

MAJALIWA AING’ATA SIKIO TAIFA STARS AFCON 2017

0
Waziri mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema kuwa hapendi kuona timu ya taifa ya soka ya Tanzania 'Taifa Stars' ikitolewa mapema katika fainali za...

CLEMENT MZIZE SIO KINYONGE…MUDA WOWOTE ANAKINUKISHA YANGA

0
STRAIKA LA MAGOLI Clement Mzize halijamaliza msimu wa 2023/2024 kinyonge, kwani amekuwa mfungaji bora wa Kombe la Shirikisho la CRDB akipachika mabao matano huku...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS