Home Authors Posts by Abubakar

Abubakar

1083 POSTS 0 COMMENTS

YANGA KUTENGENEZEWA PESA YAO…MWIGULU NCHEMBA ASHAURI

0
Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba amesema kwa mafanikio ambayo timu ya Yanga imeyapata anatamani kumshauri Gavana wa Benki Kuu (BoT) kuweka nembo ya...

JESHI LA POLISI LASITISHA MKUTANO WA WANACHAMA SIMBA…SABABU NI HIZI

0
MKUTANO wa Dharula wa Wanachama wa Simba uliotakiwa kufanyika Jumamosi, Juni 15 katika ukumbi wa Gwambina umepigwa marufuku na Mamlaka za kiusalama. Jeshi la Polisi...

VAR KUTUMIKA LIGI KUU MSIMU UJAO, SIMBA…YANGA ZAJIPANGA

0
Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba amesema kuanzia msimu ujao wa Ligi Kuu Bara, viwanja vitakavyotumika kwa michuano hiyo vitafungwa teknolojia inayomsaidia mwamuzi kufanya...

YANGA WAMPA TIMU MOURINHO…SIMBA MJIPANGE VIZURI

0
ZILIANZA kama tetesi, zikaja kama uvumi kuhusu ishu ya Kocha Mkuu wa Yanga Princess, Mzambia Charles Haalubono kuondoka kikosini hapo na kumpisha Edna Lema...

CHAMA AWAPA SIMBA FILE HILI LA MZAMBIA …KILA KITU SHWARI

0
SIMBA SC wana jambo lao  msimu huu, maafisa wa timu hiyo inaelezwa wametia timu Zambia kufuatilia saini ya winga wa Power Dynamos ambaye amekuwa...

AUGUSTINE OKRAH APEWA THANK YOU YANGA…USAJILI WA MSIMU HUU UNATISHA

0
BECHEM United ya Ghana imepanga kumrejesha nyumbani winga wa Yanga, Augustine Okrah aliyeonekanakukosa nafasi ya kucheza chini ya kocha Miguel Gamondi. Imeripotiwa Waghana wamefungua milango...

AHMED ALLY AWAPA SOMA SIMBA…MANGUNGU & MO DEWJI NDANI

0
AFISA Habari wa Simba SC Ahmed Ally amewatoa hofu wanachama na mashabiki kuwa watulivu na kuungana ili kutimiza malengo ya msimu ujao, baada ya...

KUHUSU USAJILI WA JOBE MANGUNGU AFUNGUKA A-Z….MIL 700 TZS

0
UNAMKUMBUKA PAR OMAR JOBE? Strika la Magoli aliyeshindwa kufanya maajabu ndani ya Mitaa ya Maimbazi, tangu atue Simba katika dirisha dogo. Mwenyekiti wa klabu ya...

MURTAZA MANGUNGU ACHAFUA MSIMBAZI…KUHUSU KUHUJUMU TIMU

0
MWENYEKITI wa Klabu ya Simba Murtaza Mangungu amefunguku kila kitu kuhusu upande wake juu ya kile kinachoendelea katika klabu hiyo, ambapo katika kujibu maswali...

MURTAZA MANGUNGU AMKATAA MO DEWJI…USAJILI NITALIPA MIMI

0
MWENYEKITI WA SIMBA, Murtaza Mangungu ameweka msimamo wake juu ya Mohammed Dewji kurejea katika nafasi ya Salim Abdallah Try Again, Mwenyekiti wa Bodi ya...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS