admin
BEKI WA YANGA NINJA KUIBUKIA MBEYA LEO
BEKI wa kati wa Klabu ya Yanga, Abdalah Shaibu, 'Ninja' leo anatarajiwa kujiunga na kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nassredine Nabi ambacho kipo...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATANO
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumatano
MUGALU AWA SHUJAA SIMBA IKIIRARUA DODOMA JIJI 3-1
DAKIKA 90 zimemalizika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania bara kati ya Simba na Dodoma Jiji kwa wekundu hao wa Msimbazi kushinda mabao 3-1.Katika mchezo...
KIKOSI KAMILI CHA SIMBA SC DHIDI YA DODOMA JIJI
Mshambuliaji Chris Mugalu amepewa jukumu la kuongoza mashambulizi katika mchezo wa leo wa Ligi Kuu utakaochezwa Uwanja wa Benjamin Mkapa saa moja usiku.Moja ya...
YANGA YAWASILI SALAMA MBEYA
KIKOSI cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nassreddine Nabi leo Aprili 27 kimewasili salama Mbeya.Safari hiyo ni maalumu kwa ajili ya kuwafuata wapinzani wao...
LUIS, WAWA WAREJEA KIKOSI CHA SIMBA TAYARI KUIVAA DODOMA JIJI
NYOTA wawili wa kikosi cha Simba ambao walikosekana kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Gwambina FC Luis Miquissone na Pascal Wawa wanatarajiwa...
METACHA MNATA KUONGEZA MKATABA YANGA
LEO muda wowote, kipa Metacha Mnata anatarajiwa kusaini mkataba wa miaka miwili kuendelea kukipiga Yanga.Kipa huyo hivi karibuni aliingia kwenye mgogoro na timu hiyo mara baada ya kuandika ujumbe...
VIDEO: SKATA LA MKATABA WA TSHABALALA LIPO NAMNA HII
SAKATA la mkataba beki wa kushoto wa Simba na nahodha wa timu hiyo inayoshiriki Ligi Kuu Bara pamoja na Ligi ya Mabingwa Afrika ikiwa...
MTIBWA SUGAR NA KAGERA SUGAR MAMBO MAGUMU NDANI YA LIGI
KLABU ndugu za Mtibwa Sugar na Kagera Sugar zimepoteza mechi zao za ligi kuu Tanzania bara jana na hivyo kuleta mashaka ya kubakia kwa...
VIDEO: HAYA HAPA MABAO 10 BORA LIGI KUU BARA YATAZAME
LIGI Kuu Tanzania Bara inaendelea kwa sasa ikiwa ni mzunguko wa pili, haya hapa mabao 10 makali kutoka Azam TV