Home Authors Posts by admin

admin

25232 POSTS 9 COMMENTS

RATIBA YA LIGI KUU BARA BONGO LEO

0
LEO Aprili 27 Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea ikiwa ni mzunguko wa pili kuna mechi mbili ambazo zitachezwa kwa timu kusaka point tatu muhimu.Uwanja...

YANGA YAKWEA PIPA KUWAFUATA TANZANIA PRISONS

0
 KIKOSI cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nassreddine Nabi leo Aprili 27 kimekwea pipa kuwafuata wapinzani wao Tanzania Prisons, Rukwa,Songea.Yanga ina kibarua cha kusaka...

AZAM FC WABAINISHA NAMNA JAMBO LAO LITAKAVYOTIMIA

0
 UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa bado hesabu zao katika kuwania kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara zinaendelea kwani wana kikosi imara ambacho kinarejea...

MBINU ZA KOCHA WA KAGERA SUGAR ZAFELI KWA TIMU YAKE YA...

0
FRANCIS Baraza, Kocha Mkuu wa Kagera Sugar, jana Aprili 26 aliambulia kichapo cha mabao 2-1 dhidi ya Biashara United ya Mara.Kocha huyo ambaye amejiunga...

MBEYA KWANZA WATAJA SABABU YA KUPANDA LIGI KUU BARA

0
STEVEN Matata, Kocha Mkuu wa Mbeya Kwanza amesema kuwa ushirikiano ambao alikuwa anapata kutoka kwa wachezaji pamoja na benchi la ufundi ndani ya Ligi...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMANNE

0
 MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTI XTRA Jumanne

MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA SPOTI XTRA JUMANNE

0
 MUONEKANO wa Ukurasa wa nyuma Gazeti la SPOTI XTRA Jumanne 

MANCHESTER UNITED, ARSENAL ZAWANIA SAINI YA MSENEGAL

0
MANCHESTER United imeripotiwa kwamba imeungana na Arsenal katika kuwania saini ya mshambuliaji wa Slavia Prague, Abdalah Sima.Sima mwenye umri wa miaka 19 amekuwa na...

MKATA UMEME LWANGA KUWAKOSA DODOMA JIJI LEO KWA MKAPA

0
 KIUNGO Mkabaji wa Klabu ya Simba, Taddeo Lwanga ataukosa mchezo wa leo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Dodoma Jiji unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa...

ARGUERO ANATAKA KUJIUNGA NA BARCELONA

0
 SERGIO Arguero, mshambuliaji wa kikosi cha Manchester City imeelezwa kuwa amewaambia watu wake wa karibu kwamba anataka kujiunga na Klabu ya Barcelona.Tayari imewekwa wazi...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS