admin
KOCHA TANZANIA PRISONS: HAIKUWA MALENGO KUGAWANA POINTI MOJAMOJA NA YANGA
SALUM Mayanga, Kocha Mkuu wa Tanzania Prisons amesema kuwa haikuwa hesabu zake kulazimisha sare mbele ya Yanga ila wachezaji wake walizidiwa mbinu mwishoni jambo...
LEO NI VITA YA TANO BORA ENGLAND, BRUNO NOMA
LEO Manchester United inayonolewa na Kocha Mkuu, Ole Gunnar Solkjaer ina kibarua cha kusaka pointi tatu mbele ya Aston Villa kwenye mchezo wa Ligi Kuu...
MZAMBIA WA SIMBA ASAINI KWA WAARABU
MSHAMBULIAJI Walter Bwalya aliyekuwa akikipiga ndani ya Klabu ya Nkana FC ya Zambia alipokuwa akicheza na Mtanzania Hassan Kessy amejiunga na Klabu ya Al...
WAWILI WAACHWA KMC MAZIMA
WAKATI kipindi cha usajili wa dirisha dogo ukiendelea, KMC FC imeachana na wachezaji wake wawili.Kwa mujibu wa Ofisa Habari wa KMC, Christina Mwagala ambaye...
MTAMBO WA MABAO WAWAAMBIA YANGA IWEKE MKWANJA ASAINI
NYOTA wa kikosi cha JKT Tanzania, Adam Adam amesema kuwa ikiwa mabosi wa Yanga wataweka mkwanja unaoeleweka atamwaga wino bila mashaka.Adam mwenye mabao saba...
SportPesa YAMWAGA MAMILIONI KWA NAMUNGO
KAMPUNI ya Michezo ya Burudani ya SportPesa imeipa udhamini wa Sh 23.3 Mil Klabu ya Namungo FC kwa ajili ya kuiwezesha timu hiyo katika...
KANE AINGIA ANGA ZA MANCHESTER CITY
MANCHESTER City imepanga kufanya usajili utakaoishtua Tottenham kwa kumchukua nyota wao Harry Kane kwa mujibu wa ripoti.Kocha Mkuu, Pep Guardiola yupo kwenye mpango wa...
JONAS MKUDE ATAJA CHIMBO LAKE LILIPO
JONAS Mkude, kiungo mkabaji ndani ya Klabu ya Simba ambaye ni chaguo la kwanza la Kocha Mkuu, Sven Vandenbroeck ametaja pale alipo kwa sasa...
USAJILI WA YONDANI, WAIPA JEURI POLISI TANZANIA
MARA baada ya kufanikiwa kuzinasa saini za wachezaji wa zamani wa Yanga, beki wa kati Kelvin Yondani na kiungo mkabaji Abdulaziz Makame, uongozi wa...
AZAM FC WAPANIA KUENDELEZA REKODI
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa mpango wao ni kuendelea kupata matokeo ndani ya uwanja kwa mechi ambazo zimebaki mkononi mwao.Desemba 31, Azam ilifunga...