admin
POGBA: NILIFANYA KOSA LA KIJINGA NDANI YA UWANJA
KIUNGO wa kati wa Manchester United, Paul Pogba, amekubali kupokea lawama baada ya kucheza rafu dhidi ya mchezaji wa Arsenal, iliyosababisha penati ambayo iliamua...
LUSAJO NYOTA WA KMC ALIYEIBUKIA KUTOKA NAMUNGO ATAJA MABAO ATAKAYOFUNGA
MSHAMBULIAJI wa KMC, Relliants Lusajo, ameweka wazi kuwa mikakati yake msimu huu ni kuifungia timu hiyo mabao yasiyopungua 15 katika Ligi Kuu Bara, huku...
MANCHESTER UNITED WANATIA HURUMA, WAKUSANYA MABAO 10
MANCHESTER United imeshuhudia maumivu tena ikiwa Uwanja wa Old Trafford kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Arsenal kwenye mchezo wa Ligi Kuu England na...
BERNARD MORRISON NA SHOMARI LAWI WANATUACHIA MASWALI MAGUMU
LILIKUWA suala la muda tu kabla ya kuisikia hukumu ya mchezaji aitwaye Bernard Morrison. Tulikuwa na hakika kuwa atakumbana na adhabu baada ya kamera...
KMC YATUMA SALAMU KWA BIASHARA UNITED
UONGOZI wa Klabu ya KMC umesema kuwa kwa sasa utaendelea kushusha dozi kwa kila timu itakayokutana nayo kwa kuwa imepata mbinu za ushindi ndani...
LIGI KUU BARA HIZI HAPA UWANJANI
LEO Novemba 2 ulimwengu wa Ligi Kuu Bara unaendelea ambapo mchezo mmoja utachezwa kwa timu mbili kusaka pointi tatu ndani ya uwanja.Uwanja wa Sokoine...
AZAM FC YAIPIGIA HESABU DODOMA JIJI FC
VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Azam FC wameanza kuipigia hesabu Dodoma Jiji kuelekea kwenye mchezo wao wa ligi utakaochezwa Novemba 5, Uwanja wa...
MWADUI FC MAJANGA, YAWEKA REKODI YAKE BONGO
KIKOSI cha Mwadui FC kimekuwa kwenye majanga baada ya kuyeusha pointi sita mfululizo kwa kupokea vipigo vikubwavikubwa.Kikosi hicho kimeweka rekodi ya kukubali vipigo vikubwa...
PRINCE DUBE WA AZAM MAMBO NI MAGUMU, DAKIKA 270
PRINCE Dube mtupiaji namba moja ndani ya Bongo akiwa na mabao sita kwenye Ligi Kuu Bara na pasi nne za mabao mambo yamekuwa magumu...
KIDUKU AMTWANGA KWA TKO MTHAILAND
BONDIA Mtanzania, Twaha Kiduku amemtwanga bondia Sorimongkhon Singwancha kutoka Thailand kwa TKO raundi ya saba.Kiduku mkazi wa Morogoro aliibuka mbabe kwenye pambano hilo la...