admin
BOXER APEWA SOMO NA NAHODHA WA YANGA
PAUL Godfrey maarufu kama Boxer amepewa somo na nahodha msaidizi wa Klabu ya Yanga, Juma Abdul kuwa anapaswa kuongeza juhudi ili kufikia malengo aliyojiwekea.Boxer...
VPL: SIMBA 5-1 ALLIANCE FC
SIMBA ipo mbele kwa mabao 5-1 mbele ya Alliance FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara unaochezwa Uwanja wa Taifa.Meddie Kagere ametupia mabao mawili...
JESHI KAMILI LA SIMBA LITAKALOANZA LEO DHIDI YA ALLIANCE FC UWANJA...
1.Beno Kakolanya2.Shomari Kapombe3.Mohamed Hussein 4.Kennedy Juma5.Pascal Wawa6.Jonas Mkude7.Luis Miquissone8.Gerson Fraga9.Medie Kagere10. Clatous Chama11.Francis KahataWachezaji wa AkibaAishi Manula Erasto Nyoni Said Hamisi Mzamiru Yassin Deo Kanda John Bocco Hassan Dilunga
HIZI HAPA ZA LEO LIGI KUU TANZANIA BARA ZIPO NAMNA HII
JKT Tanzania itamenyana na Mbao FC, Uwanja wa Jamhuri.Lipuli FC itamenyana na Azam FC, Uwanja wa Samora.Simba itamenyana na Alliance FC, Uwanja wa Taifa.Mechi...
MOTO WA ARSENAL NI BALAA, SASA WASUBIRI KIGONGO KINGINE WATAKACHOKIJUA LEO
MOTO wa kikosi cha Arsenal umekuwa hauzuiliki kwa sasa kwenye mechi kubwa na ngumu baada ya kuanza kwa kuwanyoosha kwa tabu mabingwa Liverpool mabao...
BEKI SIMBA APELEKA MKATABA WAKE YANGA
LICHA ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara kwa mara ya kwanza msimu huu akiwa na Simba, beki wa pembeni wa timu hiyo, Gadiel...
MCHEZAJI BORA FDL ATOA SHUKRANI ZAKE
Nahodha wa Gwambina FC, Jacob Masawe amesema anamshukuru Mungu kwa hatua aliyofikia kwa sasa pamoja na ushirikiano kwa kila mmoja.Jana Julai 18 amekabidhiwa tuzo...
YANGA YAMSHUSHA WINGA WA AS VITA, KAGERE AIBUKA, NDANI YA SPOTI...
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTI XTRA Jumapili
KOCHA ANAYETAJWA KUIBUKIA SIMBA KUSHUKA NA JEMBE HILI LA KAZI
KOCHA Mkuu wa As Vita, Frolent Ibenge ambaye inaelezwa kuwa yupo kwenye hesabu za Simba inatajwa kuwa kocha huyo ataambatana na kiungo wa timu...