admin
BREAKING: KAGERE APEWA TUZO YA MCHEZAJI BORA MWEZI MACHI
MSHAMBULIAJI namba moja wa Klabu ya Simba Meddie Kagere amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Machi wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) msimu wa...
BREAKING:MANCHESTER CITY YASHINDA RUFAA YAKE YA KUSHIRIKI LIGI YA MABINGWA ULAYA
Manchester City, imeshinda rufaa yake iliyokata kutokana na kufungiwa kutoshiriki miaka miwili kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.City ilipinga maamuzi ya kufungiwa kushiriki...
TIMU ZILIZOPANDA LIGI KUU BARA ZIJIPANGE KULETA USHINDANI
TAYARI Gwambina na Dodoma FC zina tiketi mkononi na msimu ujao wa 2020/21 zitakuwa kwenye maisha ya Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kupambana...
NAHODHA SIMBA ATOA NENO LAKE BAADA YA USHINDI WA MABAO MANNE...
JOHN Bocco nahodha wa Simba amesema kuwa pongezi nyingi za ushindi wao wa jana wa mabao 4-1 mbele ya Yanga zinarejea kwa mashabiki pamoja...
MTIBWA SUGAR KUIWASHIA MOTO AZAM FC GAIRO
UONGOZI wa Mtibwa Sugar umesema kuwa kwa sasa unandaa majeshi ambayo yataiangamiza Azam FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara watakapokutana Julai 15 Uwanja...
YANGA WATOA TAMKO BAADA YA KUPOKEA KICHAPO CHA 4G MBELE YA...
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa haikuwa bahati yao jana kushinda mbele ya Simba kwenye mchezo wa hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho...
YANGA WATAJA WACHEZAJI AMBAO WALIIGHARIMU TIMU JANA TAIFA
MCHEZAJI wa zamani wa Yanga, Bakari Malima maarufu kama Jembe Ulaya amesema kuwa Yanga ilifanya makosa makubwa kuwaanzisha kikosi cha kwanza wachezaji watatu kwenye...
MWADUI FC: BADO TUNA NAFASI YA KUBAKI NDANI YA LIGI KUU...
GERALD Mdamu, mshambuliaji wa Mwadui FC amesema kuwa bado wana nafasi ya kubaki ndani ya Ligi Kuu Bara kwa kuwa wamekubaliana kupata matokeo chanya...
BOURNEMOUTH YAIPUNGUZIA KASI ASTON VILLA YA SAMATTA
BOURNEMOUTH FC inayonolewa na Eddie Howe jana iliishushia kichapo cha mabao 4-1 Leicester City Kwenye mchezo wa Ligi Kuu England uliochezwa Uwanja wa Vitality.Leicester...
USHINDI WA MABAO 2-1 KWA SPURS MBELE YA ARSENAL WAMPA KIBURI...
TOTTENHAM Spurs iliyo chini ya Kocha Mkuu, Jose Mourinho ilishinda mabao 2-1 mbele ya Arsenal jambo ambalo limempa kiburi meneja huyo kwa kusema kuwa...