Home Authors Posts by admin

admin

25386 POSTS 9 COMMENTS

LICHA YA KUWA NI MGONJWA, NIYONZIMA AOMBA APANGWE LEO KUIMALIZA SIMBA...

0
HARUNA Niyonzima kiungo wa Yanga amesema kuwa ameomba acheze angalau kwa dakika 45 kwenye mchezo wa leo dhidi ya Simba wa hatua ya nusu...

UONGOZI WA SIMBA WAGOMEA KUZUNGUMZIA HALI YA KAPOMBE, HATIHATI KUIKOSA YANGA...

1
UONGOZI wa Simba umegoma kuweka wazi hali ya beki wa kulia Shomari Kapombe kwa sasa kwa kuwa imewekeza akili zake kwenye mchezo wa leo...

AZAM FC YAZITAKA POINTI TATU ZA MTIBWA SUGAR

0
UONGOZI wa Klabu ya Azam FC umesema kuwa upo tayari kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mtibwa Sugar inayonolewa...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMAPILI

0
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTI XTRA Jumapili usipange kukosa nakala yako jero tu 

YANGA WATOA TAMKO KUHUSU TSHISHIMBI KUWAVAA SIMBA KESHO

0
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa nahodha wao Papy Tshishimbi yupo fiti kwa ajili ya mchezo wa kesho dhidi ya Simba utakaochezwa Uwanja wa Taifa,...

DODOMA FC YAUNGANA NA GWAMBINA FC MSIMU WA 2020/21 ZIPO NDANI...

0
USHINDI wa mabao 2-0 walioupata Dodoma FC unawapa tiketi ya kupanda moja kwa moja ndani ya Ligi Kuu Tanzania Bara.Dodoma FC inaungana na Gwambina ambayo...

MTAMBUE ALIYESHIKILIA USHINDI WA DABI YA KESHO NI NDANI YA SPOTI...

0
KESHO ndani ya SPOTI XTRA Jumapili usipange kukosa nakala yako jero tu 

YANGA YAFICHUA MBINU WATAKAYOTUMIA KUIFUNGA SIMBA KESHO TAIFA

0
LUC Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa anazitambua mbinu za wapinzani wake Simba hivyo hawatamsumbua kesho Taifa.Simba itakutana na Yanga kesho, Julai 12,...

SIMBA: TUNAIFUNGA YANGA TAIFA

0
UONGOZI wa Simba umesema kuwa unaamini aina ya wachezaji walionao hivyo wanaamini watapata matokeo chanya mbele ya Yanga kwenye mchezo wa kesho utakaochezwa Uwanja...

NAMUNGO FC YATINGA FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO, YAMSUBIRI MSHINDI WA MCHEZO...

0
NAMUNGO FC ya Lindi imeibuka na ushindi wa bao 1-0 na kukata tiketi ya kushiriki hatua ya fainali ya Kombe la Shirikisho baada ya...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS