admin
LACAZETTE AINGIA ANGA ZA AC MILAN, JUVENTUS
IMERIPOTIWA kuwa nyota wa kikosi cha Arsenal, Alexandre Lacazette anaweza kuondoka msimu ujao ndani ya timu hiyo inayonolewa na Mikel Arteta.Inatajwa kuwa Juventus na...
SABABU YA MORRISON KUKWEA PIPA ISHU NI SIMBA
IMEELEZWA kuwa sababu sababu kubwa ya kiungo wa mshambuliaji wa Yanga, Bernard Morrison kuwahi kwenda ndani ya kikosi hicho ni kujiweka sawa kwa ajili...
SIMBA KUSHUSHA MAJEMBE MAKALI YA CAF
UONGOZI wa Simba SC umefunguka kuwa sasa kazi imeisha ya kupambania ubingwa wa Ligi Kuu Bara na badala yake wanaangalia namna ya kukijenga kikosi...
BALAMA MAPINDUZI NAYE PIA KUKOSA MECHI ZOTE ZA YANGA
NYOTA wa Yanga, Mapinduzi Balama huenda asionekane tena uwanjani hadi msimu huu unamalizika kutokana na jeraha lake la kifundo cha mguu linalomsumbua.Balama alipata majeraha...
JEMBE HILI LA KAZI NDANI YA SIMBA KUKOSA MECHI ZOTE IKIWA...
SHOMARI Kapombe, beki wa kulia wa Klabu ya Simba inaelezwa kuwa kuna hatihati ya kukosa mechi zote za Simba msimu huu kutokana na majeraha...
CHELSEA YAANZA KUMSHAWISHI WILLIAN ABAKI NDANI YA KIKOSI HICHO
KlABU ya Chelsea imefungua ukurasa mpya wa mazungumzo na kiungo wao Willian Da Silva raia wa Brazil.Hatua hiyo imefikia baada ya nyota huyo kugomea...
KOCHA MBAO FC APIGA BONGE MOJA YA MKWARA
KOCHA Mkuu wa Mbao FC ya Mwanza, Felix Minziro amesema kuwa kinachoibeba timu yake kupata ushindi ni morali kubwa ya wachezaji kwenye kupambana kutafuta...
NIYONZIMA SASA KUIKOSA KAGERA RASMI, SIMBA MAMBO BADO
KOCHA Mkuu wa Yanga, Luc Eymael, amesema kuwa kiungo wake Haruna Niyonzima, raia wa Rwanda, atakosa mechi mbili muhimu kutokana na kuwa na majeraha ya goti.Nyonzima...
SIMBA WAANZA KUIVUTIA KASI NAMUNGO FC
MABINGWA wa Ligi Kuu Tanzania Bara leo, Simba wameanza maandalizi ya kujiweka sawa kwa ajili ya mchezo wao wa Julai 8 dhidi ya Namungo...
NAMUNGO YAPANIA KUTIBUA SHEREHE ZA UBINGWA WA SIMBA
USHINDI wa bao 1-0 walioupata Namungo mbele ya JKT Tanzania ambao waliitungua Simba iliyo chini ya Sven Vandenbroeck, Februari 7 bao 1-0 imewapa hali...