admin
HALI YA NIYONZIMA INAZIDI KUWA FRESH
KIUNGO wa Yanga, Haruna Niyonzima kwa sasa anaendelea vizuri baada ya kupata majeraha jana, Julai 5 wakati wakikubali kugawana pointi moja na Biashara United.Kwa...
ISHU YA MATOLA KUIBUKIA AZAM FC IPO HIVI
IMEELEZWA kuwa, uongozi wa Azam FC upo mbioni kumshusha Kocha Msaidizi wa Simba, Selemani Matola ili kuongeza nguvu kwenye benchi lao la ufundi.Matola ni...
MTAMBO WA KAZI YANGA WAIFUATA KAGERA SUGAR
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Bernard Morrison leo ameanza safari kuelekea Bukoba kuungana na wachezaji wenzake ambao wana mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya...
ASTON VILLA MAMBO MAGUMU KWELIKWELI NDANI YA LIGI KUU ENGLAND
TIMU ya Aston Villa inazidi kupoteza matumaini ya kubaki ndani ya Ligi Kuu England msimu ujao baada ya kukubali kichapo cha mabao 2-0 kutoka...
YANGA YAIWEKA KANDO KIDOGO SIMBA, AKILI ZAKE ZIMEWEKWA HUKU
LUC Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa hana hesabu kuhusu mchezo wake wa Simba wa hatua ya nusu fainali unaotarajiwa kuchezwa Julai 12...
MTUPIAJI NAMBA MOJA WA KAGERA SUGAR HATIHATI KUIKOSA YANGA
YUSUPH Mhilu, mshambuliaji namba moja ndani ya kikosi cha Kagera Sugar kinachonolewa na Mecky Maxime ambaye aliitungua Yanga kwenye mchezo wa kwanza wa Ligi...
AZAM FC YAPIGA MTU CHA WIKI, CHIRWA APIGA MANNE
MCHEZO wa Ligi Kuu Bara uliochezwa jana, Uwanja wa Azam Complex kati ya Azam FC v Singida United ulikamilika kwa Azam FC kuishushia mvua...
MBALI NA KUCHEKA NA NYAVU HIKI NDICHO ANACHOKIPENDA KAGERE, VITA YA...
MBALI na kujenga urafiki na nyavu mshambuliaji namba moja wa Simba, Meddie Kagere raia wa Rwanda anapenda kusoma vitabu kuhusu mafanikio.Kwenye Ligi Kuu Bara...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATATU
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumatatu