admin
MCHEZO WA TANZANIA PRISONS NA SIMBA UMELIZUA HILI HAPA PALE SOKOINE
KAMATI ya nidhamu ya Shrikisho la Soka Tanzania,(TFF) imetoa onyo kali kwa Uwanja wa Sokoine, Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Mbeya na...
AZAM FC WAKUTANA NA RUNGU LA TFF
TIMU ya Azam FC imepigwa faini ya shilingi laki tano (500,000) kwa kosa la wachezaji na maofisa wa timu hiyo kuingia uwanjani kwa kupitia...
BREAKING: YANGA WAKUTANA NA RUNGU LA TFF, KISA MASHABIKI UWANJA WA...
KLABU ya Yanga imepigwa faini ya shilingi laki tano (500,000) kwa kosa la mashabiki wake kuwarushia chupa za maji wachezaji wa Namungo walipokuwa wanashangilia...
BREAKING:WAAMUZI WA YANGA V AZAM FC TAIFA YAWAKUTA, WAFUNGIWA MIEZI MITATU
ELLY Sasii mwamuzi wa kati wa mchezo wa Yanga na Azam FC pamoja na wasaidizi wake Sudi Lila na Mbaraka Haule wamefungiwa miezi mitatu...
KILICHOMLETA NINJA YANGA HIKI HAPA, KESHO NDANI YA CHAMPIONI JUMAMOSI
Kesho ndani ya Championi Jumamosi
SIMBA YATUA TIMU MTWARA,JEMBE MOJA LA KAZI LAACHWA DAR
Kikosi cha Simba kimewasili salama leo mkoani Mtwara baada ya kusepa Dar es Salaam leo asubuhi kwa ndinga.Simba ambao ni Mabingwa mara tatu mfululizo...
MWADUI FC YAZITAKA POINTI TATU ZA KMC KESHO, UHURU
MSHAMBULIAJI namba moja wa Klabu ya Mwadui FC Gerald Mathias Mdamu amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa kesho dhidi ya KMC...
MSUVA APIGWA PINI NYINGINE NDANI YA EL JADIDA
SIMON Msuva, winga wa kimataifa anayekipiga ndani ya Klabu ya Difaa El Jadida inayoshiriki Ligi Kuu nchini Morocco,'Botola Liague' ameongeza dili la mwaka mmoja.Thamani...
HIVI NDIVYO AZAM FC ILIVYONYOOSHWA NA SIMBA DAKIKA 450
USHINDI wa mabao 2-0 walioupata Simba mbele ya Azam FC, juzi Uwanja wa Taifa unaifanya Azam FC ikubali kupoteza jumla ya mechi tano ambazo...
YANGA KUIBUKA NA MAJEMBE MAWILI YA KAZI DHIDI YA SIMBA
KOCHA Mkuu wa Yanga, Luc Eymael amesema kuwa ana uhakika wa kuwatumia wachezaji wake wawili kwenye mchezo wake wa hatua ya nusu fainali dhidi...