Home Authors Posts by admin

admin

25373 POSTS 9 COMMENTS

MO DEWJI ANOGESHA SHOO SIMBA

0
MAMBO ni moto ndani ya klabu ya Simba kwa wakati huu ambao wanaonekana wazi kukaribia kuupokea ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, huku Mwenyekiti...

LICHA YA MANCHESTER UNITED KUSHINDA MABAO 2-1 MBELE YA NORWICH YASHAURIWA...

0
BEKI wa zamani wa Machester United, Phil Neville amesema kuwa Manchester United inahitaji  kuongeza beki mwingine ambaye ataongeza ulinzi kwenye kikosi hicho ambaye atakuwa...

OSEJA KIPA ALIYEIPANDISHA NAMUNGO ATAJA KINACHOWABEBA, WAANZA SAFARI KUREJEA LINDI LEO

0
ADAM Oseja, kipa namba mbili wa Namungo FC amesema kuwa kikubwa ambacho kinaibeba timu hiyo ni  ushirikiano pamoja na jitihada za wachezaji kupambana ndani...

MASHABIKI NDANDA HAWAAMINI WANACHOKIONA BAADA YA NGASSA KUFANYA YAKE TAIFA

0
MASHABIKI wa timu ya Ndanda FC, jana, Juni 27, hawajaamini wanachokiona ndani ya Uwanja wa Taifa baada ya Yanga kupindua meza kibabe kwenye mchezo...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMAPILI

0
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTI XTRA Jumapili 

SIMBA YATOA AHADI NZITO KWA MASHABIKI WAKE

0
NAHODHA wa Simba, John Bocco amesema kuwa wachezaji wamekubaliana kubeba ubingwa kabla ya kumaliza mechi zao zilizobaki mkononi ili kupunguza presha ya mechi zilizobaki.Simba...

SIMBA YACHEKELEA MASHABIKI KURUHUSIWA KUSHANGILIA KESHO MBEYA

0
UONGOZI wa Simba umeishukuru Serikali kwa kuruhusu mashabiki kuingia kwenye mchezo wao wa kesh dhidi ya Tanzania Prisons utakaochewa Uwanja wa Sokoine.Serikali ilipiga marufuku...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS