admin
SIMBA WAANZA KUIVUTIA KASI MBEYA CITY LEOLEO
BAADA ya kikosi cha Simba kufika jijini Mbeya leo kimeanza mazoezi kwa ajili ya kujiweka sawa kuvaana na Mbeya City kwenye mchezo wa Ligi...
KUHUSU KUTUA YANGA..KOTEI AMEFUNGUKA HAYA..!!
UJUMBE wa kiungo wa zamani wa Simba, James Kotei (26) alioutuma leo kwenye ukurasa wake wa Instagram, umeonyesha ishara ya wazi kuwa anaelekea kujiunga...
SHIKHALO AFUNGUKIA ISHU YA KUWEKWA BENCHI NA MNATA
FAROUK Shikhalo, mlinda mlango namba moja wa Yanga amesema kuwa kukaa kwake benchi kwenye mechi za Ligi Kuu Bara kunampa hasira ya kujinoa zaidi...
A-Z KUHUSU ISHU YA KAKOLANYA SIMBA IPO NAMNA HIVI
HALI ya hewa siyo nzuri baina ya kipa wa Simba, Beno Kakolanya na bosi wake, Mohammed Mwarami na inaelezwa wamechenjiana kwa maneno na ndiyo...
POLISI TANZANIA BADO HAIJAREJEA KWENYE UBORA WAKE
MALALE Hamsini, Kocha Mkuu wa Polisi Tanzania amesema kuwa kikosi chake bado hakijarejea kwenye ubora wake kutokana na kutokuwa na muunganiko mzuri baada ya...
HAPA NDIPO LILIPO TATIZO LA MBEYA CITY
AMRI Said, Kocha Mkuu wa Mbeya City amesema kuwa mfumo wake wa kucheza mipira mirefu ni tatizo jambo ambalo analifanyia kazi kwenye mechi zake...
NAMUNGO SASA KUKIWASHA MOTO NA YANGA TAIFA
NAMUNGO FC iliyo chini ya Kocha Mkuu, Hitimana Thiery Juni 24 itakuwa na kibarua cha kumenyana na Yanga kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara...
UBINGWA SIMBA UNABEBWA KWA HESABU HIZI HAPA
SARE ya jana, Juni 21 kati ya Yanga dhidi ya Azam, Uwanja wa Taifa imezidi kuisogeza Simba katika kuufikia ubingwa.Iko hivi, Simba wakishinda mechi...
YANGA YASIKITISHWA NA ZOMEAZOMEA YA MASHABIKI
YANGA yakemea tabia ya mashabiki kuzomea wachezaji na kupigana wenyewe kwa wenyewe