admin
YANGA WAANZA VURUGU LIGI YA MABINGWA AFRIKA….KAZI KUANZA NA MECHI NA...
YANGA juzi ilikuwa uwanjani kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo lakini vichwani kwao wanajua kwamba wamebakiza dakika 90 tu kuchukua mzigo...
ROBERTINHO:- COSTAL UNION WAMETUPA DAWA YA KUTINGA MAKUNDI CAF….
BAADA ya kuvuna pointi tatu dhidi ya Coastal Union, mchezo wa Ligi Kuu Bara, Kocha Mkuu wa Simba, Roberto Oliviera ‘Robertinho’, ameweka wazi mechi...
KAMATA BONABODA NA ZAWADI NYINGINE KIBAO KUPITIA MERIDIANBET…
Hii hapa promosheni nyingine kutoka Meridianbet inayokupa zawadi kabambe kama vile Bodaboda mpya na pesa taslim bila kusahau simjanja za kijanja zitamwagika kama mvua.
Kama...
ONANA:- NIMEKOSA …NIMEKOSA MIMI….NIMEKOSA SANA…MAN UTD KUGUMU…!!!
Mlinda Lango wa Man Utd Andre Onana amekiri kufanya makosa katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya dhidi ya Mabingwa wa soka nchini...
MUDATHIR:- BAO LILIANZIA BENCHI…
Bao pekee lililofungwa na Mudathir Yahya katika mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Namungo FC limeifanya Yanga SC kuongoza katika msimamo wa ligi hiyo...
KISA ‘KAGOLI KAMOJA’ JANA….GAMONDI AOMBA RADHI YANGA…
Klabu ya Yanga imefanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Namungo FC, jana Jumatano, Septemba 20, 2023 katika Dimba la Azam Complex,...
KOPI MKEKA HUU….KISHA WEKA BUKU LAKO TU…KISHA SUBIRI MPUNGA WA MERIDIANBET…
Ligi ya Uingereza yani EPL imekuwa ni ligi bora na pendwa sana ambapo timu kutoka ukanda huo zimekuwa zikifanya vizuri hasa katika mika ya...
JULIO:- YANGA WALE WALE TU….HAWANA JIPYA MPAKA SASA…
Kocha na mchezaji wa zamani wa Simba SC, Jamuhuri Kihwelu 'Julio' amesema kuwa kilichowabeba Yanga SC ni ubora uzoefu wa wachezaji wao tofauti na...
HATMA YA KRAMO KUJULIKANA WIKI HII…MADAKTARI WAFUNGUKA GONJWA HATARI LINALOMTESA…
Majeraha ya mara kwa mara yanayomkumbwa winga mpya wa Simba SC Aubin Kramo yanazua maswali kwa mashabiki wa Simba SC juu ya mchezaji huyo...
SIMBA , YANGA ZAPEWA ‘UCHAWI’ KUBEBA TAJI LIGI YA MABINGWA AFRIKA…
SIMBA na Yanga siyo ishu tena kushinda ugenini katika michuano ya CAF, isipokuwa zimeshauriwa kuweka nguvu katika mataji, ili kuandika historia.
Wachezaji wa zamani wa...