admin
RUVU SHOOTING:TUTAWASHANGAZA WENGI KESHO
OFISA Habari wa Ruvu Shooting, Masau Bwire amesema kuwa kesho watawashangaza wengi ndani ya uwanja kwenye mchezo wao dhidi ya Simba.Ruvu Shooting itamenyana na...
VPL:MWADUI 0-1 YANGA
Inaongezwa dakika mojaMCHEZO wa Ligi Kuu Bara unaoendelea Uwanja wa Kambarage kati ya Mwadui na Yanga, Yanga ipo mbele kwa bao 1-0.Balama Mapinduzi amefunga...
MWADUI,YANGA ZAPEWA TANO NA TFF KWA KUFUATA MUONGOZO WA SERIKALI
MASHABIKI wa Mwadui na Yanga leo wamfuata muongozo uliotolewa na Serikali kwa kukaa umbali wa mita moja ikiwa ni tahadhari dhidi ya Virusi vya...
SABABU YA YANGA KUPANDA NDINGA MPAKA SHINYANGA HII HAPA
INAELEZWA kuwa sababu kubwa iliyowafanya wachezaji wa Yanga kuelekea Shinyanga kwa ndiga ni kuepusha gharama zisizo za lazima pamoja na kuwaweka wachezaji kwenye mazoezi...
LEO KAZI KAZI, VIWANJA VIWILI KUWAKA MOTO
LEO Juni 13, viwanja viwili vitakuwa na kazi ya kukupambana na mihimili ya miguu 44 baada ya masuala ya michezo kuruhusiwa kuendelea na Serikali.Hakukuwa...
AZAM FC YAIANDALIA DOZI MBAO
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa unajiweka sawa kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mbao FC utakaochezwa Uwanja wa...
UJUMBE WA JEMBE KWA HAJI NA HASSAN
NIMEONA sehemu mbalimbali mitandaoni baadhi ya watu wakifurahia namna Msemaji wa Yanga, Hassan Bumbuli alivyomdhihaki Msemaji wa Simba, Haji Manara.Maneno makali aliyotoa Bumbuli kwa...
JESHI LA YANGA LITAKALOANZA DHIDI YA MWADUI FC LEO, KAMBARAGE
KIKOSI ca Yanga kitakachoanza le dhidi ya Mwadui FC Uwanja wa Kambarage
MTAMBO WA KAZI WAUNGANA NA WENZAKE NDANI YA KIKOSI CHA AZAM...
BEKI wa Azam FC, Nicolas Wadada jana ameungana na wachezaji wenzake kufanya mazoezi ya pamoja kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa kesho dhidi...
SIMBA YAZITAKA POINTI TATU ZA RUVU SHOOTING
LUIS Miquissone, kiungo mshambuliaji wa Simba amesemamazoezi waliyofanya kwa muda wa wiki mbili yatawasaidia kupata matokeo chanya mbeke ya Ruvu Shooting.Kesho Juni 14, Simba...