admin
MABOSI WA YANGA WAMALIZA UTATA KUHUSU MORRISON
WANAFAMILIA wa Yanga ambao ni mabosi pia, Kampuni ya GSM imesema kuwa suala lao na Bernard Morrison walishalimaliza hivyo hawana mashaka na nyota huyo...
SIMBA YAPANIA KUMCHOMOA BEKI MMOJA POLISI TANZANIA
IMEELEZWA kuwa uongozi wa Simba upo kwenye hesabu za kuinasa saini ya beki mpambanaji ndani ya Polisi Tanzania, Idd Mobby.Mobby ambaye ni nahodha pia...
KOCHA LIGI KUU AHOFIA WACHEZAJI KUSHUKA VIWANGO LIGI IKIREJEA
ZUBER Katwila, Kocha Mkuu wa Mtibwa Sugar amesema kuwa iwapo wachezaji watashindwa kuendelea kufanya mazoezi wakati huu wa mapumziko kupisha Virusi vya Corona endapo...
TAMBWE ATOA NENO YANGA NI KESHO NDANI YA CHAMPIONI JUMAMOSI
KESHO ndani ya Championi Jumamosi
ISHU YA BILIONI 20 YA MO YAMUIBUA MWENYEKITI ATOA NENO HILI
ALIYEWAHI kuwa Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Swedy Mkwabi ameitaka Bodi ya Wakurugenzi ya klabu hiyo kushughulikia masuala yote ya muhimu ikiwemo kuhakikisha Sh....
KAZI IMEANZA, AZAM FC SASA KUSHUSHA MASHINE ZA KAZI NNE
UONGOZI wa Azam FC umeamua kuweka wazi dhamira yao ya kutaka kushindana na klabu kongwe katika Ligi Kuu Bara, Simba na Yanga katika masuala...
HIMID MABO: BADO NINAPIGA MAZOEZI NDANI, KIKUBWA DUA TUWE SALAMA
HIMID Mao, nyota anayekipiga Klabu ya ENPPI ya Misri inayoshiriki Ligi Kuu nchini humo amesema kuwa licha ya kuwepo kwa Virusi vya Corona bado...
KIUNGO HUYU WA SIMBA PANGA LINAMHUSU MAZIMA
SAID Ndemla, nyota wa Simba yupo kwenye hatihati ya kuachwa na mabosi wake hao kutokana na kushindwa kufurukuta ndani ya klabu hiyo kwa sasa.Ndemla...
MANARA: CORONA IMETIBUA DILI LA WAZUNGU KUJA BONGO
OFISA Habari wa Simba, Haji Manara amesema kuwa Ugonjwa wa Covid-19 unaonezwa na Virusi vya Corona umetibua dili lake la kuwaleta nchini Wazungu wa...