YANGA WAOMBWA KUENDELEA KUPATA NAKALA YA JARIDA LAO
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa mashabiki wanapaswa waendelee kujipatia nakala ya jarida la timu yao ili kujifunza mengi zaidi.Hivi karibuni Yanga ilizindua jarida lao maalumu…
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa mashabiki wanapaswa waendelee kujipatia nakala ya jarida la timu yao ili kujifunza mengi zaidi.Hivi karibuni Yanga ilizindua jarida lao maalumu…
ROBERT Lewandowski, anayekipiga ndani ya Bayern Munich ni miongoni mwa washambuliaji mahiri duniani kwa sasa kwa kujenga ushkaji mkubwa na nyavu.Nyota huyo amevunja rekodi kibao…
UONGOZI wa Mtibwa Sugar umesema kuwa bado una mpango na nyota wao Abdulahman Humud ambaye anatajwa kuwaniwa na Yanga.Humud ambaye amejiunga na Klabu ya Mtibwa…
ANDREY Coutinho, kiungo wa zamani wa Klabu ya Yanga amesema kuwa miongoni mwa vitu anavyovikumbuka kwenye ardhi ya Bongo ni pamoja na chakula alichokuwa akikipata…
JADON Sancho, amezidi kuwa bora ndani ya Klabu yake ya Borussia Dortumund jambo ambalo linaifanya Manchester United kuzidi kupasua kichwa kuinasa saini yake.Sancho ametupia jumla…
SERGIO Arguero, mshambuliaji wa Manchester City ana balaa ndani ya uwanja ambapo jumla akiwa ametumia dakika 27,033 amefunga mabao 254.Mabao hayo ni kwenye michuano yote…
ABDI Banda beki kutoka Bongo anayekipiga ndani ya Highlands Park inayoshiriki Ligi Kuu nchini Afrika Kusini amesema kuwa kama ligi yao itafutwa fresh tu hamna…
HASSAN Dilunga, kiungo mshambuliaji wa Simba amewaaga mabosi wa klabu hiyo baada ya kutamka kwamba kwa msimu ujao ndoto zake ni kwenda kutafuta changamoto mpya.…
JAMHURI Kihwelo ‘Julio’, kocha wa zamani wa Simba amesema kuwa mchezaji wa Azam FC, Shabani Idd Chilunda, ni mfano mzuri wa wachezaji wengi wa Kibongo…
KIUNGO wa Simba, Luis Miquissone amesema kuwa amekuwa akifanya mazoezi ya kupiga mashuti ya mbali katika kipindi hiki cha Corona kwa kuwa anatamani kuona anafunga…