Latest Posts

VIGEZO VYA NAHODHA STARS VIPO NAMNA HII

KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania,  Etienne Ndayiragije amesema miongoni mwa vitu anavyovitazama kabla ya kumpa mchezajikitambaa cha unahodha ni uwezo wake wa…

MITAMBO INAYOMPA JEURI MGUNDA

Mitambo inayompa jeuri Juma Mgunda, Kocha Mkuu wa Coastal Union;-Bakar Mwamnyeto-beki wa katiAyoub Lyanga-MshambuliajiHassan Kibailo-Beki wa kuliaShaban Dudu-MshambuliajiJames Kahimba-WingaAme Ibrahim-beki wa katiHance Masoud-beki wa pembeni

BALAA LA YOHANA MKOMOLA LIPO HIVI

Yohana Mkomola nyota Mtanzania anayekipiga ndsni ya FK Vorkslka Poltava timu ya chini ya miaka 21 ametumia dakika 638 baada ya kucheza mechi 14. Ameanza…

SADIO MANE ANAZIDI KUIPASUA KICHWA LIVERPOOL

SADIO Mane, nyota wa Senegal anayekipiga ndani ya Liverpool anazidi kuivuruga timu yake kutokana na mabosi wa Real Madrid kuendelea kusisitiza kuwa wanahitaji saini yake.Mane…