JEMBE ANAAMINI KWAMBA KUTOBOA KWA SAMATTA KUMEFUNGUA NJIA KWA WAZAWA WENGINE KUTAKA KUTOKA NJE
KUTOKANA na wachezaji wengi wazawa kupata nafasi ya kucheza nje ya nchi jambo hilo linatoa mwanga kwa wengine kuhitaji kupata nafasi ya kwenda kukipiga pia…