Home Authors Posts by admin

admin

25025 POSTS 9 COMMENTS

MBELGIJI WA YANGA AWASHANGAA WACHEZAJI WAKE KUPOTEZA MBELE YA KMC

0
LUC Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa ameshangazwa na wachezaji wake kupoteza mbele ya KMC licha ya kutoka kuimaliza Simba kwenye mchezo wa...

HII NOMA, MUUAJI WA SIMBA AWAPIGA MKWARA WA MAANA WATANI ZAKE

0
BERNARD Morrison, kiungo mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa watani zake wa jadi Simba washukuru kwa kuwa aliumia angewaliza kwa mabao mengi siku ya Machi...

SABABU YA AJIBU, KICHUYA, KAKOLANYA KUSOTA BENCHI HII HAPA, MZUNGU AWAPA...

0
SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa wachezaji wake wote ni wazuri ila anashindwa kuwatumia kutokana na kushindwa kumshawishi pale wanapopata nafasi.Miongoni mwa...

NAMUNGO YAZITAKA POINTI TATU ZA YANGA

0
HITIMANA Thiery, Kocha Mkuu wa Namungo amesema kuwa kwa sasa kikosi chake kinajiandaa na mchezo wake wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga unaotarajiwa...

WABELGIJI WOTE WA YANGA NA SIMBA WAFANYA YAO SASA, NI NDANI...

0
NDANI ya CHAMPIONI jJumamosi kuna kila kitu kuhusu kkusimamishwa kwa Ligi Kuu England, kesho Jumamosi, Machi 14.

NYOTA SIMBA: USHINDANI WA NAMBA HAUKWEPEKI DUNIANI KOTE

0
GADIEL Michael, beki wa Simba amesema kuwa ushindani wa namba kwenye timu ni jambo la kawaida duniani kote na linaleta ukomavu kwa mchezaji. Nyota...

SIMBA:LIGI KUU INA USHINDANI MKUBWA

0
BEKI Kisiki wa Simba, Pascal Wawa amesema kuwa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu ina ushindani mkubwa jambo ambalo linawafanya wapasue kichwa kusaka matokeo...

CORONA YASIMAMISHA LIGI KUU ENGLAND KWA MUDA

0
LIGI Kuu ya England imesimamishwa kuanzia leo Machi 13 kwa muda wiki mbili inatarajiwa kurejea Aprili 3 kutokana na mlipuko wa Virusi vya Corona.Hatua...

POLISI TANZANIA: KAZI BADO IPO KWENYE LIGI

0
UONGOZI wa Polisi Tanzania umesema kuwa bado una kazi kubwa ya kufanya ndani ya Ligi Kuu ili kutimiza malengo waliyojiwekea msimu huu.Polisi Tanzania ipo...

CORONA KWA KOCHA ARSENAL, BEKI JUVENTUS NI UJUMBE HADI LIGI KUU...

0
Na Saleh AllyUSIKU wa kuamkia jana imetangazwa kuwa beki wa klabu kigogo ya Italia, Juventus amebainika kuwa anaugua ugonjwa wa Covid-19 maarufu kama Corona.Huyu...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS