Latest Posts

KAGERA WATIA NGUMU MAXIME KUTUA YANGA

BAADA ya kuwapo kwa tetesi za Yanga kuendelea kumwania Kocha Mkuu wa Kagera Sugar, Mecky Maxime, uongozi wa timu hiyo umesema kocha wake haendi kokote,…

GWIJI MANCHESTER UNITED AMPA TANO FERNANDES

GWIJI wa Manchester United, Paul Scholes, amesifu mchango ulioletwa na Bruno Fernandes klabuni hapo, akisema raia huyo wa Ureno amekuja na kitu kilichokosekana kwa muda…