admin
HAO AZAM FC WAIPANIA POLISI TANZANIA KESHO UHURU
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa kesho utapambana kuzipata pointi tatu za Polisi Tanzania kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Uwanja wa Uhuru.Azam...
KAGERA SUGAR YATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KWA NIZAR KHALFAN KWA PIGO...
Uongozi wa Kagera Sugar FC umetuma salamu za pole kwa mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Tanzania, Nizar Khalfan kutokana na kufiwa...
CHIRWA ABEBESHWA BONGE MOJA YA ZIGO HUKO AZAM FC
UONGOZI wa Azam FC, umempa zigo kubwa mshambuliaji wao namba moja , Obrey Chirwa kuiongoza timu yake kufikia malengo ya kutwaa ubingwa wa Ligi...
KUMEKUCHA MSIMBAZI, MATOLA SASA KUTIMKA NDANI YA TIMU
IMEELEZWA kuwa Kocha Msaidizi wa Simba, Seleman Matola yupo kwenye harakati za kuondoka ndani ya Simba ili aongeze ujuzi wake kwenye taaluma ya ukocha.Habari...
SIMBA KAZINI TENA KESHO MBELE YA MTIBWA SUGAR, MOROGORO
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara kesho watakuwa na kazi ya kumenyana na Mtibwa Sugar kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaopigwa Uwanja wa...
SINGIDA UNITED HUKO MAMBO BADO
SINGIDA United imeanza kwa kuangukia pua tena mzunguko wa pili kwa kulazimisha sare ya kufungana mabao 2-2 na Mwadui FC ya Shinyanga.Sare hiyo inaifanya...
LIPANGILE WA KMC AWAPIGA BAO WADADA WA AZAM NA DILUNGA WA...
MSHAMBULIAJI wa timu ya KMC ya Dar es Salaam, Sadallah Lipangile amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Januari wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania...
HUYU HAPA KOCHA BORA WA MWEZI JANUARI, MZUNGU WA SIMBA NA...
VerifiedKOCHA wa timu ya Azam FC ya Dar es Salaam, Aristica Cioaba amechaguliwa kuwa Kocha Bora wa mwezi Januari wa Ligi Kuu ya Vodacom...
MZUNGU AMBADILISHIA MAJUKUMU NCHIMBI KISA MOLINGA
LUC Eymael amesema kuwa kazi kubwa aliyompa mshambuliaji wake Ditram Nchimbi ni kutengeneza nafasi za mabao kwa mshambuliaji mwenzake David Molinga akishindwa basi inabidi...
MTIBWA SUGAR: TUNAICHAPA SIMBA NA POINTI TATU TUNASEPA NAZO
THOBIAS Kifaru, Ofisa Habari wa Mtibwa Sugar amesema kuwa kichapo kwa Simba ni halali yao kwani wanawatambua vema hivyo hawatawasumbua kwenye mchezo wao wa...