JESHI LA TIMU YA TAIFA YA U 17 LITAKALOANZA DHIDI YA UGANDA LEO TAIFA
HILI hapa jeshi la timu ya Taifa ya Wanawake chini ya miaka 17 litakaloanza dhidi ya Uganda leo Uwanja wa Taifa.
HILI hapa jeshi la timu ya Taifa ya Wanawake chini ya miaka 17 litakaloanza dhidi ya Uganda leo Uwanja wa Taifa.
IMEELEZWA kuwa Kocha Mkuu wa KMC leo anaingia uwanjani na kikosi chake akiwa na hofu tupu juu ya kibarua chake ndani ya timu hiyo.KMC leo…
BAKARI Shime, Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Wanawake chini ya miaka 17 amesema kuwa kikosi kipo tayari kuwavaa Uganda hivyo mashabiki wajitokezekwa wingi…
IMEISHA rekodi ya timu ya Liverpool kuendelea kucheza mechi zake za Ligi Kuu England bila kufungwa baada ya jana, Februari 29 Watford kuitungua kwa mabao…
MZAMIRU Yassin, kiungo wa Simba anatarajia kuanza kuonyesha makeke yake leo Uwanja wa Taifa kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara iwapo Kocha Mkuu Sven Vandnbroeck…
SVEN Vandnbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amesema ataingia kwa tahadhari kubwa kuivaa KMC kutokana na ushindani uliopo ndani ya Ligi Kuu Bara.Simba itaingia uwanjani ikiwa…
HITIMANA Thiery, Kocha Mkuu wa Namungo amesema kuwa bado wana kazi kubwa ya kulinda uwezo wao na kiwango chao kwa sasa kutokana na ushindani wa…
USHINDI wa bao 1-0 walilopata Azam FC mbele ya JKT Tanzana limewapa matumaini Azam FC kuendelea kasi yake kufukuzia ubingwa wa Ligi Kuu Bara.Azam FC…
MLINDA mlango wa Mtibwa Sugar, Benedict Tinnoco amesema kuwa miongoni mwa washambuliaji ambao huwa anawahofia wakiwa na mpira ni Ibrahim Ajib.Tinnoco amesema kuwa amekuwa akiwa…
KOCHA Mkuu wa Yanga, Luc Eymael amesema kuwa siri kubwa ya ushindi wa mabao 2-0 mbele ya Alliance ni wachezaji wake kufuata maelekezo aliyowaambia mwanzo…