admin
MAHAKAMA KISUTU YAFUNGA UHAHIDI KESI YA AVEVA, KABURU, AUAMUZI SASA SEPTEMBA...
Ushahidi wa kesi inayowakabili waliokuwa viongozi wa Simba, Evans Aveva na wenzake, unatarajiwa kutolewa uamuzi Septemba 17, mwaka huu kama wana kesi ya kujibu...
ISHU YA SALAH KUMZINGUA MANE NI PASUA KICHWA NDANI YA LIVERPOOL,...
MENEJA wa timu ya Liverpool, Jurgen Klopp amesema kuwa tabia ya mchezaji kushindwa kutoa pasi kwa mchezaji mwingine ni ngumu kuitolea maamuzi hasa ukizingatia...
BENKI KBC YAINGIA MKATABA WA MAMILIONI NA LIGI KUU BARA
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Benki ya KCB leo September 4 2019 wameingia mkataba wa mwaka mmoja wa Udhamini wa Ligi...
JEZI YA TAMBWE KUWA NA UKAME WA MABAO YANGA LAMFANYA ATOE...
Ukame wa mabao aliouonesha mshambuliaji Mnamibia wa Yanga, Sadney Urikhob katika mechi za mashindano yote ikiwemo za kirafiki, umemuibuka aliyekuwa straika wa timu hiyo,...
SAMATTA AKABIDHIWA NA RAGE TIMU YA ARSENAL
Na George MgangaMwenyekiti wa zamani Simba SC, Ismail Aden Rage, amesema kuwa mshambuliaji Mtanzania anayekipiga KRC Genk ya Ubelgiji, Mbwana Samatta, anastahili kucheza Arsenal...
AUSSEMS AWAPIGA MKWARA WACHEZAJI WAWILI SIMBA
Kocha mkuu wa Simba, Patrick Aussems, amewashukia mabeki wake Muivory Coast Pascal Wawa na Erasto Nyoni kwa kuwaambia kwa msimu huu hataki kuona timu...
KASEJA ATISHIA AMANI BURUNDI
Kikosi cha timu ya taifa, Taifa Stars kinashuka uwanjani leo hii kupambana na Burundi katika mchezo wa kuwania kufuzu Fainali za Kombe la Dunia...
KOCHA SIMBA AIPA TAHADHARI YANGA KWA ZESCO
Kocha Mkuu wa KMC ambaye amewahi kuzinoa Simba, Coastal Union na Kagera Sugar, ameipa tahadhari mapema Yanga kabla ya kuwavaa Zesco United kwenye mchezo...
YONDANI AAMUA KUTII AMRI
Beki Mkongwe wa Klabu ya Yanga, Kelvin Yondani amesema kuwa anakubali uwezo wa beki mwenzake raia wa Ghana, Lamine Moro na kwamba uelewano wao...