admin
WATU WAENDELEA KUCHOTA MIKWANJA YA MAANA KUTOKA SPORTPESA BONGO
Mshindi wa Jackpot Bonus Barikiwa Akson Kasekwa akikabidhiwa hundi ya shilingi 7,187,699/= mara baada ya kubashiri kwa usahihi mechi 12 kati ya 13 kwenye...
STARS YABEBA MATUMAINI MAKUBWA
MBWANA Samatta, nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania amesema kuwa wachezaji wanatambua kazi kubwa ambayo wametumwa na Taifa kwa ajili ya kupeperusha bendera...
INAUMA!!! MTOTO MBEYA AIBWA KIMAFIA
MBEYA: INAUMA sana! Ni maneno ambayo mtu yeyote anayejua uchungu wa mtoto anaweza kuyatamka kutokana na mtoto Herieth Ismail mwenye umri wa miezi sita...
KAZI IMEANZA, MBELGIJI APANGUA KIKOSI SIMBA
Kocha Mkuu wa Simba Mbelgiji, Patrick Aussems amesema kuwa anataka kuona timu yake inapata ushindi wa mabao kuanzia matatu hadi matano kwenye michezo ijayo...
BAADA YA MAPITO MAZITO, HAWA NITAREJEA AMTAMANI DIAMOND
Anaitwa Hawa Mayoka lakini wengi wanapenda kumuita Hawa Nitarejea. Mwanadada huyu amepitia wakati mgumu baada ya kuugua lakini Mungu akamsimamisha tena.Ukibahatika kuzungumza naye lazima...
STARS WAONDOKA KIBABE KUWAFUATA BURUNDI KWAO
Wachezaji wa Timu ya Taifa wameondoka leo asubuhi Septemba 3, 2019 kuelekea nchini Burundi kwenye mchezo wa kutafuta tiketi ya kufuzu Kombe la Dunia...
SIMBA WAWATAKA MASHABIKI WAKE WAISHANGILIE ZESCO UNITED
Uongozi wa klabu ya Simba kupitia Ofisa Habari wake Haji Manara, umewataka mashabiki wake kuipa sapoti Zesco United watakapocheza dhidi ya Yanga kwenye mechi...
NDAYIRAGIJE AFUNGUKA KUHUSIANA NA TAIFA LAKE LA BURUNDI LITAKALOKABILIANA NA STARS...
Kimu Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Etienne Ndayiragije amewaambia Warundi kuwa yupo kazini, hivyo wasitarajie huruma yoyote kutoka kwake.Ndayiragije...