admin
FAINALI YA KIBABE LEO AFCON, SENEGAL V ALGERIA
MCHEZO wa fainali ya michuano ya Kombe la Mataifa Afrika (Afcon) kati ya Senegal na Algeria, unachezwa leo Ijumaa kwenye Uwanja wa Kimataifa wa...
TECNO YAINGIA MKATABA MPYA NA MABINGWA WA ENGLAND MACHESTER CITY
Kampuni ya simu maarufu nchini TECNO mobile imeongeza mkataba wake na klabu bingwa ya England yenye makazi yake jijini Manchester, yaani Manchester City. Mkataba huo...
MANCHESTER CITY YAMTOLEA UVIVU LEROY SANE
PEP Guardiola Meneja wa Manchester City amesema kuwa kwenye kikosi chake kama kuna mchezaji anataka kusepa ruksa yeye hana hiyana anachotaka kuona kila mchezaji...
DIDA AINGIA ANGA ZA MTIBWA SUGAR, AITAJA AFRIKA KUSINI
DEOGRATIUS Munish 'Dida' inaelezwa kuwa anawindwa na timu yake ya zamani ya Mtibwa Sugar ili kuziba pengo la Benedict Tinnoco ambaye amejiunga na Kagera...
ISHU YA KUGOMBANIA NAMBA NA CHAMA, KAHATA KWA AJIBU IPO HIVI
KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Ibrahim Ajibu amesema kuwa hana hofu na kukosa namba kwani ushindani upo sehemu zote.Ajibu amejiunga na Simba msimu huu akitokea...
AZAM FC: TUNALITAKA KOMBE LETU, MANYEMA SIRI ZAO TUNAZO
KOCHA Msaidizi wa Azam FC, Idd Cheche amesema kuwa leo watapambana na Manyema FC ili kutinga hatua ya fainali kombe la Kagame na kuteta...
SENEGAL WAPATA PIGO LEO KUMKOSA BEKI WAO KISIKI FAINALI YA AFCON
KALIDOU Koulibary beki mahiri wa timu ya Taifa ya Senegal leo ataukosa mchezo wa fainali kwenye michuano ya Afcon dhidi ya Algeria nchini Misri.Hii...
USAJILI YANGA WAZUA HOFU SIMBA
WAKATI kikosi cha Yanga kikiendelea kujifua huko mkoani Morogoro kwa ajili ya msimu ujao wa ligi, aliyekuwa kipa namba moja wa timu hiyo, Beno...
SIMBA KUCHEZA KWENYE MIJI MITATU SAUZI
SIMBA ambayo ipo kambini nchini afrika Kusini ambapo inatajwa kambi hiyo ni ghrama kubwa, imetangaza kuwa itacheza michezo mitatu ya kujipima nguvu. Kumekuwa na...
WALIOKATAA FEDHA ZA UWOYA GLOBAL WAPEWA KITITA
UONGOZI wa Global Publishers umewapongeza kwa kuwapa kitita cha fedha wanahabari wake, Imelda Mtema na Hillary Daudi, kwa kuonesha weledi wa kutogombea fedha wakati...