NEWCASTEL UNITED KUTUMIA AKILI LEO MBELE YA ARSENAL
STEVE Bruce, Meneja wa kikosi cha Newcastle United amesema kuwa leo atapambana kupata matokeo chanya mbele ya Arsenal. “Tunajua kwamba mchezo utakuwa mgumu hilo lipo wazi…
STEVE Bruce, Meneja wa kikosi cha Newcastle United amesema kuwa leo atapambana kupata matokeo chanya mbele ya Arsenal. “Tunajua kwamba mchezo utakuwa mgumu hilo lipo wazi…
UNAI Emery, Meneja wa Arsenal amesema kuwa leo atawatumia wachezaji wake wengi wapya kwa kuwa anaamini wapo fiti. Mchezo wa kwanza leo Arsenal atamenyana na…
AZAM FC, leo wana kazi ya kutupa kete ya kwanza mbele ya Fasil Kenema nchini Ethiopia kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho utakaochezwa majira ya…
TIMU ya Taifa ya Wanawake chini ya miaka 20 ‘Tanzanite’ leo imetwaa ubingwa wa michuano ya COSAFA nchini Afrika Kusini baada ya kulipa kisasi mbele…
UONGOZI wa Simba umesema kuwa Yanga wanastaihili pongezi ila wamewaangusha wananchi kwa kulazimisha sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya Township Rollers jana uwanja wa…
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amesema kuwa bado kikosi chake hakijawa na maelewano mazuri jambo ambalo liliwapa taabu kupata matokeo kwenye mchezo wao wa…
KIKOSI cha Simba baada ya kumaliza mchezo wao wa kimataifa dhidi ya UD do Songo nchini Msumbiji kilikwea pipa na kurejea Bongo.Simba walikuwa ugenini, karata…
MUONEKANO wa Ukurasa wa Mbele Gazeti la SPOTIXTRA Jumapili.
TIMU ya Taifa ya Wanawake chini ya miaka 20 ‘Tanzanite’ leo itakuwa kazini kumenyana na timu ya Taifa ya Wanawake ya Zambia.Tanzanite imealikwa kwenye michuano…
KIKOSI cha KMC kitakachowavaa leo AS Kigali ya Haruna Niyonzima leo nchini Rwanda