BUNJU KUMENOGA, DR.MWAKYEMBE, MO WAFANYA UKAGUZI
WAZIRI wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe amewasili uwanja wa Bunju leo kwa ajili ajili ya kuweka jiwe la msingi.Mwakyembe ameongozana na…
WAZIRI wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe amewasili uwanja wa Bunju leo kwa ajili ajili ya kuweka jiwe la msingi.Mwakyembe ameongozana na…
MWINYI Zahera, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa msimu ujao atakuwa anatupia pamba kali zaidi ya msimu uliopita.Zahera msimu uliopita alikuwa anapenda kuvaa tisheti pamoja…
PAUL Makonda, Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, amesema kuwa yeye ni kwa haua ambayo Yanga wameanza kwa sasa ni hatua kubwa na inahitaji…
UONGOZI wa Paris Saint Germain (PSG) inaaminika kuwa upo tayari kumuuza nyota wao raia wa Brazil, Neymar Jr lakini sio kwa kuwauzia Barcelona.Neymar aliwaambia PSG…
WAZIRI wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Harrison Mwakyembe leo anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye uwekaji jiwe la msingi uwanja wa Bunju.Hafla hiyo inatarajiwa kufanyika…
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la CHAMPIONI Jumatatu
BAKARI Shime, Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Wanawake chini ya miaka 20, ‘Tanzanite’ amesema kuwa wachezaji wake wanapaswa pongezi kwa kupambana.Tanzanite imetinga hatua…
UONGOZI wa Simba umesema kuwa kuelekea kwenye SportPesa Simba Wiki wamejipanga kufanya makubwa msimu ujao na wataanza kufanya hivyo kesho kwenye mchezo wa kirafiki dhidi…
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amesema kuwa matatizo ya kikosi chake kwa sasa ni madogo na atayafanyia kazi.Zahera amesema kuwa kwa sasa anakisuka kikosi…
JUMA Kaseja, nahodha msaidizi wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ amesema kuwa siri kubwa ya ushindi ni kujiamini na kufanya kazi kwa kushirikiana.Jana…