Uncategorized

BUNJU KUMENOGA, DR.MWAKYEMBE, MO WAFANYA UKAGUZI

admin August 5, 2019 9:01 am


WAZIRI wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe amewasili uwanja wa Bunju leo kwa ajili ajili ya kuweka jiwe la msingi.

Mwakyembe ameongozana na viongozi wa Simba ikiwa ni pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya Udhamini ya Simba, Mohamed Dewji ‘Mo’, Crescentisus Magori ambaye ni Mtendaji Mkuu wa Simba pamoja na waneanza shughuli ya kukagua uwanja wa nyasi bandia na asilia mabao utawekwa jiwe la msingi.

Pia mashabiki wa Simba wamejitokeza kushuhudia tukio hilo la kihistoria.

RC: PAUL MAKONDA AWAPA TANO YANGA, ATAJA KITAKACHOUKUZA MPIRA WA BONGO KOCHA YANGA KUBADILI MAZIMA UTUPIAJI WAKE, SASA KUVAA KIBINGWABINGWA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6131

Leave a Reply