ILE ISHU KWAMBA EMMANUEL OKWI ANAREJEA SIMBA, IKIWEZEKANA MCHONGO UKO HIVI….
Mshambuliaji wa zamani wa Simba, Mganda, Emmanuel Okwi ambaye hivi karibuni alitangaza kuachana na klabu hiyo, kuna uwezekano mkubwa akarejea tena kikosini hapo kuendelea kuitumikia…