MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la CHAMPIONI Jumamosi
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la CHAMPIONI Jumamosi
WILFRED Kidao, Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) amesema kuwa kuna uwezekano mkubwa wa ratiba ya Ligi Kuu Bara msimu ujao ikafanyiwa marekebisho.Kidao…
PAPPY Tshishimbi, kiungo wa Yanga amekabidhiwa kitambaa cha unahodha ndani ya kikosi hicho kilichoweka kambi mkoani Morogoro.Kiungo huyo amekabidhiwa kitambaa hicho ambacho kilikuwa mikononi mwa…
CLIFORD Ndimbo, Ofisa Habari wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) amesema kuwa ni wakati wa mashabiki kujitokeza kwa wingi Agosti 28 kuipa sapoti timu ya…
KESHO CHAMPIONI Jumamosi limesheheni habari kamili kuhusu kambi ya Yanga, Maandalizi ya Timu ya Taifa ya Tanzania bila kusahau kambi ya Simba
SELEMAN Matola Kocha wa Polisi Tanzania amesema kuwa msimu ujao utakuwa na ushindani mkubwa endapo atapatikana mdhamini mkuu.Akizungumza na Saleh Jembe, Matola amesema kuwa kwa…
ARSENAL imesema kuwa haina mpango wa kumuuza nyota wake, Pierre Aubameyang msimu ujao.Awali ilikuwa inaelezwa kuwa haina mpango wa kumuuza nyota huyo msimu ujao ili…
PATRICK Aussems,Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa anataka kuona wachezaji wake wanacheza nafasi zaidi ya moja ili kutumia mifumo miwili au mitatu msimu ujao. Msimu…
SHABIKI mkubwa wa timu ya Yanga, Wema Sepetu amesema kuwa ana imani na kikosi cha Yanga kitatwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu ujao.Sepetu amesema…
JUMA Mwambusi, Kocha Mkuu wa Mbeya City amesema kuwa kwa sasa yupo kwenye mkakati wa kukisuka upya kikosi cha Mbeya City ili kifanye maajabu msimu…