Home Authors Posts by admin

admin

24529 POSTS 9 COMMENTS

HAWA HAPA WACHEZAJI PASUA KICHWA KWA ZAHERA WA YANGA

0
Ibrahim AjibuKesho, Mei 30 mkataba wake unamalizika ndani ya Yanga, bado amekuwa pasua kichwa kwa kocha Mwinyi Zahera kutokana na kuvuruga dili lake la...

SHANGWE ZA SIMBA KUANZIA KIBAHA LEO

0
BAADA ya kutwaa ubingwa jana, mabingwa wa Ligi Kuu Bara Simba leo wanarejea makao makuu ya klabu Msimbazi kuendeleza sherehe za ubingwa.Sherehe za ubingwa...

Mechi yetu na Azam FC ilikuwa ya kirafiki- Zahera

0
 Jana katika uwanja wa Taifa kulikuwa na mechi kati ya Yanga na Azam FC, mechi iliyomalizika kwa Azam FC kushinda goli 2-0.Baada...

Okwi sio mchezaji wa Simba! Kaizer Chiefs yahusika

0
Juzi Emmanuel Okwi aliandika katika mtandao wake wa Instagram kuwa neno kwa heri ni neno chungu sana.Maneno ambayo yaliweka mjadala kuhusiana na...

RUVU SHOOTING HAWAAMINI WANACHOKIONA TPL

0
KOCHA wa Ruvu Shooting, Ablumutik Haji amesema kuwa haamini macho yake kubaki ligi kuu kwani alikuwa anapitia kipindi kigumu msimu huu hali iliyomfanya akate...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATANO

0
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la CHAMPIONI Jumatano

YANGA YATAJA KILICHOIPONZA KUKOSA UBINGWA MSIMU HUU

0
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amesema kuwa T-Shirti lake alilokuwa analipenda kuvaa msimu huu halina bahati ya kubeba ubingwa hivyo msimu ujao atabadilisha...

SIMBA: HAIKUWA RAHISI KUFIKA HAPA

0
KOCHA Mkuu wa Simba, Patrick Aussems amesema kuwa haikuwa kazi rahisi kwao kutwaa ubingwa kwani walicheza mfululizo hasa kipindi cha mwisho ila juhud zimewapa...

MUONEKANO WA GAZETI LA CHAMPIONI KATIKA UKURASA WA MBELE LEO JUMATANO

0
MUONEKANO WA GAZETI LA CHAMPIONI KATIKA UKURASA WA MBELE LEO JUMATANO
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS