admin
NYOTA WA SIMBA KUTIMKIA SINGIDA UNITED
NYOTA wa Simba, Marcel Kaheza ambaye mkataba wake na AFC Leopards ya Kenya alikokuwa kwa mkopo umemalizika kwa sasa ameingia rada za Singida United...
EXCLUSIVE: PAMOJA NA MATUSI YA AMUNIKE, SAMATTA ALIOKOA JAHAZI YONDANI KURUDI...
Na Saleh Ally aliyekuwa CairoMAKALA haya yalianza jana wakati nilipoelezea hali iliyojitokeza katika kambi ya Taifa Stars jijini Cairo, Misri timu ikiwa huko kushiriki...
ZAHERA AGOMA KUREJEA BONGO, ATIMKIA ULAYA
MWINYI Zahera, Kocha Mkuu wa Yanga ambaye ni kocha msaidizi wa timu ya Taifa ya Congo amesema kuwa harudi Bongo mpaka akaione familia.Congo imetolewa...
MENEJA LAMPARD AANZA NA KINDA ODOI NDANI YA CHELSEA
KINDA Callum Hudson-Odoi inaaminika kwamba yupo tayari kusaini kandarasi mpya ndani ya klabu ya Chelsea.Hudson-Odoi inaelezwa kuwa amechukua hatua hiyo baada kuhakikishiwa muda wa...
HAPA NDIPO TATIZO LA AZAM FC LILIPOJIFICHA
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa kazi kubwa ambayo wataifanya kwenye michuano ya Kagame ni kutetea taji lao.Akizungumza na Saleh Jembe, Kocha Mkuu wa...
GAZETI LA CHAMPIONI KATIKA UKURASA WA MBELE LEO JUMATATU, VIKOSI VITATU...
Muonekano wa gazeti la Championi katika ukurasa wa mbele leo Jumatatu
YANGA KUMEKUCHA, KAMBI YA KISHUA YAANZIA DAR
Yanga jana Jumapili wameanza kambi ya msimu ujao ambapo tangu Ijumaa iliyopita mastaa wapya wa klabu hiyo wamekuwa wakiingia mmoja mmoja.Yanga wanaanza kambi mapema...
KAMBI YA SIMBA YATAJWA, MAJEMBE MAPYA YAORODHESHWA
Kama Spoti Xtra lilivyokujulisha Alhamisi iliyopita, sasa ni rasmi kwamba Simba itaweka kambi Afrika Kusini kuanzia Julai 15 na mastaa wote lazima watue Dar...
BRAZIL YATWAA COPA AMERICA BILA NEYMAR, YAITANDIKA PERU 3-1
Brazil imefanikiwa kutwaa ubingwa wa michuano ya Copa America kwa ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Peru.Wafungaji ni Everton Soares 15', Gabriel Jesus 45+3'...
KAKOLANYA: SIMBA WENYEWE WATANIPENDA
BENO Kakolanya mlinda mlango mpya wa Simba ambaye amesaini kandarasi ya miaka miwili amesema kwamba hana mashaka na uwezo wake hivyo mashabiki watampenda.Kakolanya amesema...