SIMBA: MSIMU UJAO MOTO UTAWAKA, TUTAPAMBANA KUFIKIA MALENGO
BENO Kakolanya mlinda mlango wa Simba amesema kuwa msimu ujao watapambana kufikia malengo waliyojiwekea kutokana na aina ya kambi waliypo kwa sasa. Simba ipo nchini…
BENO Kakolanya mlinda mlango wa Simba amesema kuwa msimu ujao watapambana kufikia malengo waliyojiwekea kutokana na aina ya kambi waliypo kwa sasa. Simba ipo nchini…
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa kilichomchelewesha mlinda mlango wao mpya, Farouk Shikalo kujiunga na timu hiyo ni makubaliano yao na timu yake ya zamani ya…
NYOTA wa timu ya Taifa ya Senegal, Sadio Mane amesema kuwa kilichowaponza washindwe kutwaa kombe la Afcon mwaka 2019 ni kushindwa kutumia nafasi walizozipata.Senegal imetinga…
MENEJA wa Real Madrid, Zinedine Zidane amesema kuwa hana tatizo na mchezaji wake Gareth Bale ila klabu inahitaji asepe ndani ya kikosi hicho ifikapo kesho.“Tunamatuamaini…
JUSTIN Shonga mshambuliaji wa kikosi cha timu ya Orlando Pirates mwenye miaka 22 ni mkali wa kutupia akiwa ndani ya timu yake ya Taifa ya…
SADIO Mane nyota wa Liverpool amekingiwa kifua na mabosi zake hao juu ya suala lake la kuhitajika na kikosi cha Real Madrid.Mane ambaye ni nyota…
LEO kikosi cha Azam FC ambao ni wababe kwa timu zote za Congo walizokutana nazo ambazo ni TP Mazembe na Manyema FC kitakuwa na kazi…
MLINDA Mlango wa Yanga na timu ya Taifa ya Tanzania, Metacha Mnata amesema kuwa msimu ujao lazima wapambane kufikia malengo ya timu kutokana na mipango…
JOHN Bocco nahodha wa Simba amesema kuwa msimu ujao watapambana kufa na kupona kutetea taji lao na kufanya vyema michuano ya kimataifa.Simba ni mabingwa watetezi…
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTI XTRA Jumapili