MESSI APATWA KIGUGUMIZI KUMZUNGUMZIA ANTONIE
LIONEL Messi ni mshambuliaji wa Barcelona na nahodha pia wa kikosi hicho amesema kuwa hana neno juu ya usajili wa nyota mpya Antonie.Messi amesema kuwa…
LIONEL Messi ni mshambuliaji wa Barcelona na nahodha pia wa kikosi hicho amesema kuwa hana neno juu ya usajili wa nyota mpya Antonie.Messi amesema kuwa…
ETTIENE Ndayiragije, Kocha Mkuu wa Azam FC amesema kuwa haikuwa rahisi kutinga hatua ya fainali ya michuano ya Kagame kutokana na ushindani walioupata ila jitihada…
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la CHAMPIONI Jumamosi
DEOGRATIUS Munish ‘Dida’ amesema kuwa kuwekwa kwake benchi na mlinda mlango namba moja wa Simba Aish Manula kulimuongezea hasira ya kupambana.Dida kwa sasa ameachana na…
UONGOZI wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) umesema kuwa sababu kubwa zilizofanya msimu uliopita kuwe na viporo vingi kwa timu ni kubadilishwa kwa ratiba ya…
ZANA Coullibary mzee wa kumwaga na kumimina maji sasa ni wazi msimu ujao atakuwa ndani ya kikosi cha Namungo FC endapo dili litakamilika akitokea Simba.Kocha…
WILLFRED Kouroma mshambuliaji wa Biashara United raia wa Ivory Coast ameingia kwenye rada za uongozi wa Kagera Sugar ambao wanaimarisha kikosi.Inaelezwa kuwa Kagera Sugar wanahitaji…
BAGHDAD Bounedjah bao lake la dakika ya pili limetosha kuipa timu ya Algeria ubingwa wa Bara la frika kwa mwaka wa 2019 nchini Misri dhidi…
Kikosi rasmi cha Azam FC, kinachotarajia kumenyana dhidi ya AS Maniema ya Kongo, kwenye mchezo wa nusu fainali ya michuano ya Kombe la Kagame, utakaofanyika…
KIKOSI cha timu ya Simba ya Wanawake, Simba Queens bado kinaendelea na ziara yake ya wiki mbili nchini Ujerumani.Ziara hiyo ambayo ni maalumu kwa ajili…