IBRAHIM AJIBU ATOA LA MOYONI KWA YANGA
BAADA ya kujiunga na Simba kwa kandarasi ya miaka miwili akitokea Yanga, aliyekuwa nahodha wa Yanga amewashukuru mashabiki na viongozi.Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika…
BAADA ya kujiunga na Simba kwa kandarasi ya miaka miwili akitokea Yanga, aliyekuwa nahodha wa Yanga amewashukuru mashabiki na viongozi.Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika…
NYOTA wa kikosi cha Alliance , Dickson Ambundo amejiunga na klabu ya Gormahia ya Kenya kwa kandarasi ya mwaka mmoja.Ambundo amejiunga na klabu hiyo kwa…
KIKOSI cha Simba ambacho kinaendelea kujiimarisha kwa ajili ya msimu mpya wa mwaka 2019-20 mpaka sasa tayari wamemalizana na wachezaji wa kigeni tisa kutoka mataifa…
Imeelezwa kuwa nyota wa Simba, Haruna Niyonzima yupo kwenye mazungumzo ya mwisho na klabu ya AS Vita ya Congo na APR ya Rwanda.Niyonzima amewaaga mashabiki…
Baada ya kumalizana na Simba kwa kusaini mkataba wa miaka miwili, kiungo wa zamani wa Gor Mahia FC, Francis Kahata, amefunguka kuhusiana na Meddie Kagere.Kahata…
Kama utani vile beki wa kupanda na kushuka ndani ya kikosi cha Simba Zana Coulibaly amerejea Bongo ambapo kwa sasa anakamilisha mazungumzo na mabosi wa…
NAHODHA wa timu ya taifa, Taifa Star, Mbwana Samatta na mchezaji mwenzake, Simon Msuva, kupitia kurasa zao za Instagram, wameandika ujumbe kuwaomba Watanzania radhi kutokana…
Mshambuliaji wa zamani wa Yanga, Mganda, Hamis Kiiza ameusifu usajili mpya wa mshambuliaji, Juma Balinya aliyetokea Polisi ya Uganda.Kauli hiyo ameitoa hivi karibuni mara baada…
Kocha Mkuu wa Yanga Mkongomani, Mwinyi Zahera amesikia taarifa za beki wake wa pembeni, Gadiel Michael kugomea kusaini mkataba akasonya na kuwaambia viongozi; “Mnambembeleza wa…