admin
MDOGO MDOGO TU…TAIFA STARS WAIFUMUA UGANDA….MSUVA KAMA KAWAIDA…FEI TOTO MHHH…
Timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' imeibuka na ushindi wa bao 1-0, ugenini mbele ya Uganda katika mechi ya kuwania kufuzu fainali za...
KUWAONA MAZEMBE vs YANGA ANDAA LAKI 7….NABI AIBUKA NA DENI JIPYA...
Kocha wa Yanga, Nasreddine Nabi ametimka nchini kwenda Ulaya, huku akitoa salamu ambazo hazitakuwa njema jijini Lubumbashi, DR Congo, akisema hesabu zake sasa ni...
PAMOJA NA JITIHADA ZA SIMBA…HUYU HAPA STAA WA AL AHLY ALIYEMTIBULIA...
Nyota wa Al Ahly, Mahmoud Kahraba ameshinda mchezaji bora wa wiki mzunguko wa tano Ligi ya Mabingwa Afrika akimzidi Clatous Chama wa Simba ambaye...
RASMI….SIMBA KUKUTANA NA HAWA ROBO FAINAL CAF…SHUGHULI KUANZA UPYAA…
Simba kwa sasa wanakula kuku kwa mrija ikiwa ni baada ya timu hiyo kutinga hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika lakini...
WAKATI SIMBA WAKITINGA ROBO FAINAL…MANULA NAYE AZIDI KUKIMBIZA KIBABE CAF…REKODI...
Kipa namba moja wa Simba, Aishi Manula pamoja na safu yake ya ulinzi wameweka rekodi yao ndani ya mashindano ya kimataifa katika Ligi ya...
IFANYE NDOTO YAKO KUWA KWELI NA KASINO YA ‘DREAM CATCHER’ NDANI...
Huenda usiamini kama ni kweli lakini ni kweli na uhalisia wa Maisha, huwezi amini kupitia kasino ya mtandaoni ya Meridianbet inakuletea Sloti ya kijanja...
PAMOJA NA KUFUNGWA NA YANGA JUZI….WATUNISIA WASEPA NA MAYELE…MCHONGO UKO HIVI…
Wakati Kocha Mkuu wa US Monastir ya Tunisia, Darko Novic, akiondoka na jina la Fiston Mayele, akidai ndiye aliyefanya mambo kuwaharibikia katika Uwanja wa...
WAKATI WAKIFUZU ROBO FAINAL KIBABE…MO DEWJI ALIPUKA NA JIPYA SIMBA..ADAI ANAPATA...
Wakati mara kadhaa ikisemwa Rais wa Heshima wa Klabu ya Simba Mohamed Dewji anajifaidisha na Simba SC, hali ni tofauti kwa Mwekezaji huyo anaemiliki...
PAMOJA NA MAZEMBE KUPOTEANA CAF…NABI KAITAZAMA WEE..KISHA AKASEMA HILI KWA MASTAA...
Kocha Mkuu wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara, Yanga, Nasreddine Nabi ameapa kupabana kufa na kupona ili kuingamiza TP Mazembe katika Uwanja wake wa...
SIMBA WAZIDI KUIFUNIKA YANGA KWA PESA BONGO…DILI JIPYA LA MIL 500...
Kampuni ya MobiAd Afrika leo imetangaza kudhamini Timu ya Vijana ya Simba kwa mkataba wenye thamani ya Tsh. Milioni 500 kwa miaka miwili ambao...