admin
KUHUSU MBIO ZA UBINGWA MSIMU HUU…PABLO AISHTAKIA YANGA KWA MUNGU…AWAOMBEA MABAYA…
KOCHA Mkuu wa Simba, Pablo Franco, raia wa Hispania, amefichua kuwa kilichobaki kwa sasa ni kuendelea kuwaombea wapinzani wao Yanga waendelee kupata matokeo mabaya...
MANARA AMKARIBISHA RASMI MORRISON YANGA…’KAMCHANA LIVE’ KUHUSU TABIA ZAKE MBAYA…
Msemaji wa Klabu ya Yanga, Hamis Manara ameandika haya baada ya mchezaji Bernard Morrison raia wa Ghana kuondoka ndani ya kikosi cha Simba."Kila la...
NI MWAKALEBELA TENA…AIBUKA NA HAYA MENGINE KUHUSU MAYELE…NI BAADA YA KUKOSA...
Makamu Mwenyekiti wa Yanga, Frederick Mwakalebela, ameweka wazi kuwa licha ya kupoteza mkwaju wa penati katika mchezo dhidi ya Tanzania Prisons Jumatatu iliyopita, straika...
MCHEZAJI SIMBA ‘AMSAGIA KUNGUNI’ MORRISON…AWAAMBIA YANGA WASITHUBUTU KUMSAJILI…
Kocha Msaidizi wa Namumgo na mchezaji wa zamani wa Simba Jamuhuri kiwelu Julio amesema, ni jambo jema kwa uongozi wa simba kuachana na nyota...
MBALI NA MORRISON …HAWA HAPA WACHEZAJI WENGINE WATATU WATAKAO KOSEKANA SIMBA…..
Simba SC wanakipiga na Pamba FC katika mchezo wa Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC).Katika mchezo huo itawakosa Clatous Chama, Sadio...
ISHU YA MORRISON KAMA MUVI VILEEE…PABLO AMTIMUA FASTA KAMBINI…MIDOLA YA GSM...
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti leo Jumamosi.
BAADA YA KUSAINI MIAKA MIWILI…BEKI MPYA YANGA ALIYEKIPIGA NA THIERY HENRY..AMNYOOSHEA...
BEKI wa kushoto wa timu ya taifa ya Uganda, Mustafa Kiiza, ambaye amemalizana na Yanga, amewataja wachezaji Hamisi Kiiza na Khalid Aucho kuwa sababu...
KUHUSU UBINGWA MSIMU HUU….NABI ARUDISHA AMANI YANGA…AJIPA JUKUMU LA KUFANYA ‘MIUJIZA’…
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mtunisia, Nasreddine Nabi, amewaondoa hofu mashabiki wa timu hiyo, kwa kuwaambia: “Mashabiki acheni presha, niachieni mimi, ninajua kitu cha kufanya...
MWAKALEBELA : HAKUNA TIMU ISIYOPENDA KUWA NA MORRISON…ANA NAFASI YA KUCHEZA...
MAKAMU Mwenyekiti wa Yanga, Frederick Mwakalebela, amesema kuwa kiungo Mghana, Bernard Morrison ni bonge la mchezaji, na wanatamani awepo katika kikosi chao msimu ujao.Kauli...
DAKIKA CHACHE BAADA YA ‘KULIWA KICHWA’ SIMBA…MORRISON AVUNJA UKIMYA…AANIKA UKWELI WOTE…
Dakika chache baada ya Uongozi wa Simba SC kutangaza hadharani kumpa mapumziko hadi mwishoni mwa msimu huu, Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Ghana Bernard Morrison...