admin
POGBA ASHINDILIA MPANGO WA KUSEPA MAN UNITED…’KALEFT GRUPU’ LA WHATSAPP LA...
KILA chenye mwanzo, kina mwisho. Paul Pogba amebonyeza kitufe kilichoandikwa ‘exist group’ akijiondoa kwenye kundi la WhatsApp la wachezaji wa Manchester United ikiwa ni...
YANGA vs SIMBA…TABU IKO PALE PALE…CHIKO USHINDI ALIA KUTESWA NA WACHAWI...
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Champion leo Ijumaa.
PAMOJA NA SIMBA KUTOLEWA SHIRIKISHO..MUGALU ANYOOSHEWA KIDOLE…MORRISON ATAJWA….
Ni wazi kwamba mshambuliaji Chris Mugalu ameigharimu Simba katika mchezo wa marudiano wa hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika ugenini dhidi...
KUELEKEA KARIAKOO DABI…KIGOGO TFF AIPA UBINGWA YANGA…AFUNGUKA MBINU ZILIZOTUMIKA…..
Aliyewahi kuwa Makamu wa Rais wa Shirikisho la soka nchini TFF Michael Richard Wambura amesema Young Africans ina nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa msimu...
TSHABALALA – YA AFRIKA KUSINI YASHAPITA..KILICHOPO MBELE YETU NI HALALI YETU..HATUNA...
Nahodha Msaidizi wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Simba SC Mohamed Hussein ‘Tshabalala’ amesema wameshasahau kilichotokea Afrika Kusini, na sasa wamejikita kwenye maandalizi ya...
WAKATI ZIKIWA BADO SIKU MBILI KUKUTANA NA YANGA…AHMED ALLY NA YEYE...
Meneja wa Habari na Mawasilino wa Klabu Bingwa Tanzania Bara Simba SC Ahmed Ally amesema anaamini Mashabiki na Wanachama wa klabu hiyo watafuta machozi...
KUELEKEA KARIAKOO DABI….VIGOGO YANGA WAANZA ‘MAJAMBOZI’ YA NNJE YA UWANJA MAPEMAAA….
WAKATI Simba ikiingia kambini jana kwa maandalizi ya mechi na watani zao, Yanga nao wameingia kambini ingawa wao juzi walianza na mazoezi ya gym.Hata...
KUELEKEA KARIAKOO DABI…TAKWIMU ZA MAYELE ZAITISHA SIMBA…AHADI YAKE IKO PALE PALE…
FISTON Mayele alitoa ahadi mbili ambazo moja ilikuwa ni kuifunga Namungo FC ambayo ameikamilisha na ya pili ni ya kupachika bao katika mechi ya...
WAKATI MKATABA WAKE UKIISHA SIMBA…MANULA AFUNGUKA NI WAPI ATACHEZA MSIMU UJAO…AZAM...
LICHA ya kwamba mkataba wake unaelekea ukingoni huku akihusishwa na kurejea Azam, kipa namba moja wa Simba, Aishi Manula juzi usiku alitamka kauli ambayo...
KUELEKEA KARIAKOO DABI…MWAMUZI KAYOKO KUKABIDHIWA RUNGU LA UAMUZI…ANABAHATI NA YANGA…
SIKU chache baada ya Gazeti la Mwanaspoti kufichua juu ya waamuzi waliokuwa wakipewa nafasi kubwa ya kuchezesha mchezo wa Kariakoo Derby, huku kikao kizito...