Home Authors Posts by admin

admin

25198 POSTS 9 COMMENTS

GEITA GOLD WAO NI MWENDO WA ‘KIMYA KIMYA MZEE BABA’…’WAICHIMBA BITI...

0
Kama utani Geita Gold wametua tano bora kwenye msimamo wa Ligi Kuu baada ya kuendelea kufanya vizuri kwenye mechi zao na kuvuna pointi ambazo...

CHELSEA WAKUBALI YAISHE KWA RUDIGER….SASA RASMI KUTAMBULISHWA MADRID MSIMU UJAO…

0
Kocha wa Chelsea, Thomas Tuchel amethibitisha kuwa beki wa kikosi cha timu hiyo, Antonio Rudiger ataondoka kikosini hapo ifikapo mwisho wa msimu huu.Klabu ya...

BAADA YA KUTUA TZ….KAPOMBE AWAWASHIA MOTO YANGA….”MAONGEZI HAYATAKIWI….TUKUTANE April 30…”

0
Mlinzi wa klabu ya Simba Shomari Kapombe amewatoa hofu wapenzi na mashabiki wa klabu hiyo kuelekea mchezo wao wa Kariakoo Derby dhidi ya Yanga...

PAMOJA NA KUIPELEKA RS BERKANE NUSU FAINAL SHIRIKISHO…IBENGE APATA AJALI MOROCCO…

0
Kocha Mkuu wa RS Berkane, Florent Ibenge amepata ajali ya gari wakati akitoka mazoezini jana.Taarifa ya klabu yake imesema ajali hiyo imempa maumivu makali...

KUELEKEA KARIAKOO DABI….MANARA AMSHUKIA BEKI WA SIMBA INONGA…ADAI ANAPENDA SANA ‘SIFA...

0
MSEMAJI wa Klabu ya Yanga Haji Sunday Manara akifanya mahojiano na kituo kimoja cha habari nchini amesema Beki wa kati wa klabu ya Simba...

MANARA : TUNAWAHESHIMU SIMBA..WANATIMU NZURI NA WACHEZAJI WAZOEFU..LAKINI…..

0
MSEMAJI wa klabu ya Yanga,Haji Manara amesema anawaheshimu Simba kutokana ni mabingwa watetezi wa Ligi Kuu.Manara alisema hayo jana wakati akizungumza na Waandishi wa...

MAN UTD KUMCHUKUA ERIK TEN HAG NI SAWA NA KUKUBALI...

1
Saddam Hussein alipuuza kila amri ya Wamarekani walipotaka ajisalimishe. Akakubali waje. Hakutaka kuondoka katika ardhi yake. Hakutaka kuondoka alipo.Alihisi bado ana nguvu ya kupambana....

UKWELI MCHUNGU….SIO SIMBA TU…..KILA TIMU AFRIKA INA FIGISU FIGISU ZAKE..WATZ WAUNGWANA...

0
Kumekuwa na kelele za watu mitaani baada ya mechi ya Simba na Orlando Pirates. Kelele kuhusu figisu walizofanyiwa Orlando Bongo.Kelele nyingi zimekuwepo baada ya...

KISA KIWANGO KIBOVU….MAGUIRE APEWA SAA 72 ZA KUSEPA MAN UNITED….WAKALA WAKE...

0
SIO poa. Mtu mmoja asiyefahamika amemwambia beki na nahodha wa Manchester United, Harry Maguire watafyatua mabomu matatu yaliyotegwa nyumbani kwake kama ataendelea kugoma kuchukua...

MPOLE AZIDI ‘KUKIMBIZA MWIZI KIMYA KIMYA’….MAYELE AJIPANGE LA SIVYO ANAACHWA MAZIMA…

0
MSHAMBULIAJI hatari wa Geita Gold, George Mpole amezidi kuonyesha makali yake ya kutupia kwenye Ligi Kuu baada ya kuendelea kumfukuzia nyota wa Yanga, Fiston...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS