Home Authors Posts by admin

admin

25198 POSTS 9 COMMENTS

KUELEKEA DABI YA WANAWAKE KESHO….SIMBA QUEENS WAIPIGA MKWARA WA KUFA MTU...

0
Kocha Mkuu wa Timu ya Wanawake ya Simba Queens, Sebastian Nkoma ameweka wazi kuwa malengo yao ni kuchukua ubingwa wa Ligi Kuu ya Wanawake...

MANZOKI HUYOO ANATUA JANGWANI….ANALIJUA GOLI MAYELE CHAMTOTO….ISHU NIZMA IKO HIVI…

0
INAELEZWA mabosi wa Yanga wanamfuatilia kwa karibu mshambuliaji hatari wa Vipers ya Uganda, Cesar Manzoki, kwa lengo la kuongeza nguvu katika eneo la ushambuliaji...

KUTOKA SAUZI…BARBARA AFUNGUKA SABABU YA SIMBA KUKODI WALINZI WA AFRIKA KUSINI..

0
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kwamba umeamua kufanya jambo la kitofauti kwa kukodi gari la ulinzi kwenye misafara yao wanapokuwa nchini Afrika Kusini baada...

LILE DIDI LA AZIZ KI KUTUA JANGWANI LIKO HIVI AISEE….YANGA WATEMA...

0
IMEELEZWA kuwa mabosi wa Yanga wapo katika hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji wa Asec Mimosas, Stephane Aziz Ki, raia wa...

WAKATI YANGA WAKIUUMA ANA NAMUNGO….LUSAJO ATAENDELEA KULA MKATE MKAVU LEO…?

0
NYOTA wa Namungo, Relliats Lusajo leo anafikisha siku ya 62 bila kufunga bao ndani ya mechi za Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2021/22.Nyota...

YANGA vs NAMUNGO…UGUMU WA MECHI UKO HAPA…NNJE YA UWANJA VITA NI...

0
KUMEKUCHA sasa leo ni Yanga v Namungo, Uwanja wa Mkapa ngoma inatarajiwa kupigwa ikiwa ni Aprili 23,2022.Kazi kubwa ni kwa vinara Yanga wenye pointi...

JULIO :- MAYELE KIKWETU NI POMBE …MAANA YAKE KASHALEWA..ATATUFUNGAJE ..?…TUSHINDANE UWANJANI…

0
IKIWA leo wanatarajiwa kukutana Uwanja wa Mkapa kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Yanga v Namungo, Kocha Msaidizi wa Namungo, Jamhuri Kihwelo,’Julio’...

HII HAPA RATIBA YA ‘MPAPATUKO’ WA NBC PREMIER LEAGUE LEO JUMAMOSI…MECHI...

0
LEO Aprili 23 Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea ambapo kuna mechi zinatarajiwa kuchezwa.Yanga v Namungo, Uwanja wa MkapaDodoma Jiji v Mbeya City, Uwanja wa...

EDO KUMWEMBE: TATIZO SIMBA SIO WAVUMILIVU UGENINI…HATA WANGESHINDA 2-0 BADO WASIWASI...

0
SHOMARI Kapombe alituliza kichwa juzi tena kwa mara nyingine na kufunga penalti pekee iliyoamua pambano la Simba dhidi ya Orlando Pirates katika uwanja wa...

ZA NDAANI KABISAAH…PABLO ATISHIA KUSEPA SIMBA…ALISUSA MAZOEZI…’KIGOGO’ AFURA KWA HASIRA….

0
WAKATI wowote kuanziaa sasa kocha mkuu wa Simba, Pablo Franco Martinez anaweza kuondoka klabuni hapo. Ambacho hakijulikani ni kimoja tu, ataondoka kwa kufukuzwa kama...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS