admin
OSCAR OSCAR – “SIKUSHANGAA SIMBA KUSHINDA DHIDI YA ORLANDO…NILISHANGAZWA NA MASHABIKI...
KWANZA matokeo! Yalinishtua? Lazima jibu langu liwe hapana. Ningeshtuka kama Simba wangeshinda kwa idadi kubwa ya mabao, labda kama tatu au nne lakini Ushindi...
UKWELI MCHUNGU…ILE YA MORRISON SAWA…LAKINI YA SAKHO MHHHH…..’VAR ILIFUNIKWA KITAMBAA’…
WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho Afrika, Simba wameanza vyema kwa ushindi wa bao 1-0 katika hatua ya robo fainali dhidi ya timu...
KUTOKA SAUZI….ORLANDO WAINGIA MCHECHETO…BARBARA AWAHI KUMALIZA NA BEKI LA KAZI…
Pitia Ukurasa wa mbele wa gazeti la Championi leo Jumamosi.
KUELEKEA MECHI YA KESHO DHIDI YA NAMUNGO…NTIBAZONKIZA KUKOSEKANIKA…SABABU HII HAPA…
Kocha Msaidizi wa Yanga Cedric Kaze amethibitisha kiungo mshambuliaji wa klabu hiyo Saido Ntibazonkiza atakosekana kwenye mchezo wa dhidi ya Namungo utaopigwa katika dimba...
BAADA YA KUTUA TU SAUZI…SIMBA WALIA HUJUMA…HIVI NDIVYO BALOZI WA...
Msafara wa viongozi pamoja na wachezaji wa Simba leo wamewasili salama nchini Afrika Kusini kwa ajili ya maandalizi ya mwisho ya mchezo wao dhidi...
KISA KAKOLANYA KUTOKUCHEZESHWA…JULIO AWALIPUA SIMBA…” HAIWEZI KUWA TIMU BORA NI UOGA”….
Kocha Msaidizi wa timu ya Namungo, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ amesema ni uoga kwa timu ya Simba kumtumia kipa mmoja msimu mzima huku wakijiita wao...
KIUNGO WA BURUNDI AJIPIGIA DEBE YANGA…AFUNGUKA ATAKAVYOKIWASHA AKIPANGWA NA FEI TOTO…
KIUNGO mkabaji wa Kiyovu ya Rwanda, Mrundi, Ismail Nshimiyimana ‘Pitchou’, amefunguka kuwa, haitakuwa shida kwake kama ikitokea anapata nafasi ya kucheza sambamba na kiungo...
MCHEZA TENNIS NA DEREVA WA LANGALANGA WAUNGANA KUTAKA KUINUNUA CHELSEA…DILI LAO...
Dereva wa langalanga Lewis Hamilton na nyota wa tennis Serena Williams wameungana na mwekezaji Sir Martin Broughton kutaka kuinuna klabu ya Chelsea iliyopo sokoni...
KAPOMBE AWA GUMZO AFRIKA KUSINI….MASHABIKI WA KAIZER CHIEFS, MAMELOD WAOMBA JEZI...
Licha ya Simba kuwa na mastaa kibao wenye uwezo mkubwa, lakini jina la beki Shomary Kapombe limekuwa gumzo Afrika Kusini wakati timu hiyo ikijiandaa...
YANGA vs NAMUNGO…MECHI ‘MFUPA MGUMU’ KWA YANGA….HAWAJAWAHI KUPATA USHINDI DHIDI YA...
Yanga na Namungo kila moja ipo kambini ikijiandaa na pambano la Ligi Kuu Bara baina yao litakalopigwa keshokutwa Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es...