Marce Ben Komba
KOCHA YANGA AFICHUA KUMPIGA CHINI MORRISON…KUMBE ANA MAJERAHA HAYA
Kocha msaidizi wa Yanga SC, Cedric Kaze amefichua kuwa sababu iliyowafanya benchi la ufundi kutomtumia winga Benard Morrison
kwenye mchezo wa kwanza wa Robo Fainali...
KIKOSI CHA SIMBA SAFARINI KUELEKEA MOROCCO…WATUMIA MBINU HII KUWACHANGANYA WAARABU
Kikosi cha Simba kinaondoka jijini Dar es salaam leo kuelekea Morocco kwa ajili ya mchezo wa mkondo wa pili robo fainali ya michuano ya...
BALEKE AWACHANA WYDAD CA…”NITAWATUNGUA HUKO HUKO KWENU…AMEFUNGUKA HAYA
Mshambuliaji kutoka DR Congo Jean Othos Baleke amesema Simba SC ina nafasi kubwa ya kutinga Nusu Fainali Ligi ya Mabingwa Barani Afrika kwa kuitoa...
RAIS “HAKUNA WA KUIZUIA YANGA KUTWAA UBINGWA CAF…AMEFUNGUKA HAYA
Rais wa Klabu ya Yanga, Eng. Hersi Said amesema kuwa hakuna timu ya kuizuia Yanga kubeba ubingwa wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika kwani...
MASHABIKI SIMBA HAWAMTAKI CHAMA WALA SAIDO…ISHU NZIMA IKO HIVI
Shabiki na mdau wa Yussuf Mwenda amesema kuwa japokuwa wameshinda dhidi ya Wydad Casablanca nyumbani lakini kocha Robertinho alikosea kufanya mabadiliko mapema ili kuongeza...
JE BALEKE ATAONDOKA SIMBA MWISHO WA MSIMU?…ISHU NZIMA HII HAPA
Afisa Mtandaji Mkuu wa Simba SC Imani Kajura ameweka sawa
suala la Mshambuliaji kutoka DR Congo Jean Othos Baleke, ambaye amekuwa gumzo katika kipindi hiki,...
BAADA YA KIPIGO KOCHA WYDAD…ASINGIZIA HAWAJAZOEA KUCHEZA SAA 10
Kocha Mkuu wa Mabingwa wa Soka Barani Afrika Wydad A. C Juan Carlos Garrido Fernández ameichimba mkwara Simba SC kuelekea mchezo wa Mkondo wa...
SIMBA KUKUTANA NA MAMELODI SUNDOWNS…NI VITA YA BALEKE NA SHILULE
Timu mbili kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika zimepoteza michezo yao nyumbani, huku mechi za pili zikionekana kuwa za moto zaidi.
Michezo ya kwanza...
YALIYOMKUTA ACHRAF HAKIMI…YAMNYEMELEA C.RONALDO…ISHU NZIMA IKO HIVI
Uhusiano wa mapenzi wa mwanasoka Cristiano Ronaldo na
mchumba wake Georgina Rodriguez unaripotiwa kuwa na doa, huku wakianza kukumbana na mawimbi.
Uvumi wa sasa ni kwa...
YANGA WAMUONGEZEA MPUNGA BEKI WAO HUYU…NI BAADA YA KUWAONYESHA MAAJABU
Rais wa Yanga Eng. Hersi Said pamoja na Uongozi wake wamevutiwa na kiwango bora cha beki wa kati Ibrahim Bacca anachoendelea kukionyesha kila anapopata...