“TUTAKULA SAHANI MOJA NA VIUNGO WA YANGA”…WANANCHI WAPIGWA MKWARA HUU MZITO
Yanga kwa sasa iko kwenye ubora kila eneo ikiwa imeimarika zaidi na hata mastaa wao wapo moto, lakini hilo halijawapa presha wachezaji wa Kagera Sugar…
Yanga kwa sasa iko kwenye ubora kila eneo ikiwa imeimarika zaidi na hata mastaa wao wapo moto, lakini hilo halijawapa presha wachezaji wa Kagera Sugar…
Chama cha Mpira wa Miguu Wilaya ya Songwe (SODIFA) kimetangaza kifo cha mchezaji wa timu ya Saza FC, Albat Andrea aliyefariki baada ya kugongana na…
Straika Jean Baleke, kocha mkuu wa Simba, Roberto Oliveria ‘Robertinho’ na Meneja wa uwanja wa Highland Estate, Malule Omary wamekabidhiwa tuzo zao za mwezi Machi…
Mshambuliaji Mkongo, Jean Toria Baleke Othos ametumia dakika nane za mwisho kuifungia Simba SC mabao yote ikiibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Ihefu SC…
Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia amesema kuwa kuna uwezekano mkubwa Simba na Yanga kwa pamoja zikashiriki mashindano ya Africa Super League…
Klabu ya Rivers United wameomba mchezo wa mkondo wa kwanza robo fainali kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ya Yanga upigwe katika uwanja wao wa…
Dar es salaam April 10, 2023,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya leo Tanzania
MSHAMBULIAJI wa Polisi Tanzania, Ambrose Awio ameweka wazi kikosi hicho kinahitaji miujiza kubaki Ligi Kuu Bara kwa msimu ujao baada ya kupoteza kwa mabao 3-0…
Hii ni sanamu ya aliyekuwa shabiki Mkubwa wa Valencia Vicente Navarro Aparicio ambaye alifariki dunia mwaka 2017. Valencia waliguswa hadi kujenga sanamu yake ndani ya…
Achana zile Assist za Clatous Chama acha na ile mikimbio na press za Ntibazonkiza acha na zile Hat trick za Beleke ila pale Simba SC…