AZAM FC YATOLEWA NJE USAJILI WA MCHEZAJI HUYU…WATEMWA WAO NA 200MIL ZAO
NAHODHA wa JKT Tanzania, Edward Songo amesema uwepo wachezaji wa kigeni Championship, umeisaidia kuipa thamani kubwa ligi hiyo na inakuwa rahisi kwao kuonekana na timu…
NAHODHA wa JKT Tanzania, Edward Songo amesema uwepo wachezaji wa kigeni Championship, umeisaidia kuipa thamani kubwa ligi hiyo na inakuwa rahisi kwao kuonekana na timu…
KOCHA Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi ameufuatilia mchezo wao dhidi ya TP Mazembe akiwa kwake Ubelgiji wakishinda kwa bao 1-0 lakini akafichua kwamba usiku wa…
Uongozi wa Simba SC umeweka wazi kuwa tuzo ambazo wamekomba wachezaji wake kwenye mashindano ya kimataifa yanayoandaliwa na Shirikisho la Soka Barani Afrika ‘CAF’ kwenye…
Kocha Mkuu, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ amesema baada ya muda wa miezi minne aliyokaa na timu anaamini katika siku za baadae Simba itakuwa na kikosi imara.…
Mabingwa wa kutandaza kandanda safi barani Afrika, kandanda lilioenda shule, kandanda lenye viwango vya UEFA hapa nawazungumzia Young Africans walishuka dimbani huko Lubumbashi nchini Kongo…
Record Ya Taifa Record Ya Tanzania Haijawahi Team yoyote, narudia Team yoyote kutoka Tanzania kumfunga MAZEMBE nje ndani RECORD Ni Timu tatu pekee Afrika zilizomfunga…
Wawakilishi wa Tanzania Katika Michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika, Timu ya Yanga imehitimisha michezo yake ya hatua ya Makundi kwa kushusha dozi katika Uwanja…
Wakati mashabiki wakiiwazia Geita Gold kwamba ina mlima mkubwa mbele ya Yanga kwenye Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC), wao wanasema matamanio yao ni kwenda…
BEKI wa kati ya Yanga na timu ya taifa ‘Taifa Stars’, Ibrahim Hamad ‘Bacca’ bado gumzo kwa wadau wa soka nchini, huku kocha wa timu…
KIPA wa zamani wa Simba, Kelvin Mhagama amekiri kukunwa na soka tamu lililopigwa na nyota wa Taifa Stars, Novatus Dismas anayecheza soka la kulipwa barani…