Marce Ben Komba
MAGAZETI: SIRI YA HAT TRICK YA CHAMA YAFICHUKA…MWARABU KAFA NANI ANAFUATA
Mwanamichezo March 20, 2023,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya leo Tanzania
RAISI WA HESHIMA SIMBA…MO DEWJI AMSAMEHE HAJI MANARA…”NIMEMSAMEHE
Rais wa Heshima wa Klabu ya Simba, Mohammed Dewji 'Mo Dewji' amesema kuwa amemsamehe aliyewahi kuwa Msemaji wa Klabu hiyo, Haji Manara kufuatia matusi...
HII HAPA RATIBA YA KOMBE LA SHIRIKISHO
Hatimaye Shirikisho la Soka Tanzania 'TFF' limeweka wazi tarehe maalum za michezo ya minne ya Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Tanzana Bara 'ASFC'...
WACHEZAJI SIMBA WAPIGA PENATI NJE MAKUSUDI…KULINDA USALAMA WAO
SIO watu wengi wanaojua hili. Lakini kulikuwa na maajabu fulani hivi hadi Simba ilipofika nusu fainali ya Klabu Bingwa wa Afrika (sasa Ligi ya...
TAIFA STARS YAFANYA MAJARIBIO KWENYE MECHI MUHIMU..KUACHWA KAPOMBE NA TSHABALALA INASHTUA
KUNA nyakati vitu vinatokea na kushtua sana. Ni kama hiki kilichotokea kwenye kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ majuzi. Ni kichekesho...
MRITHI WA KAPOMBE TAIFA STARS…”KUNA KITU WAMEONA…SIJAITWA BURE
FUNGU la kwanza la kikosi cha timu ya taifa, Taifa Stars tayari kipo Misri baada ya kutua salama tangu kilipoondoka alfajiri ya jana, huku...
MAMA SAMIA AWAMWAGA MPUNGA…MIL 500 MEZANI…TAIFA STARS IKIFUZU AFCON
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Pindi Chana amesema Serikali itatoa Sh500 milioni kwa timu ya Taifa 'Taifa Stars' ikiwa itafuzu kucheza fainali...
RAISI WA TFF WALLACE KARIA…ANASTAHILI TUZO
Wakati tukifurahia timu zetu za Simba na Yanga kutinga hatua ya robo fainali ya michuono ya Ligi ya Mabingwa Afrika na ile ya Kombe...
MASHABIKI WA SIMBA ACHENI CHUKI…MNAPASWA KUMUOMBA RADHI KIBU DENNIS
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, huu ni moja kati ya maneno ya hekima yaliyotumiwa na wahenga.
Sina haja ya kuelezea maana yake ila nachotaka kusema...
BARBARA ATOBOA SIRI…USAJILI WA ADEBAYO KUTUA SIMBA
Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Klabu ya Simba, Barbara
Gonzalez amethibitisha kwamba alikuwa anafanya kila namna ili kupata saini ya Victorean Adebayo raia wa Niger kwenye...