Marce Ben Komba
MAGAZETI YA LEO: GARI LIMEWAKA UNYAMA MWINGI…WAARABU WAMEJUWA KAMA HAWAJUI
Good Morning Mwanamichezo March 19, 2023,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya leo Tanzania
KOCHA WA TAIFA STARS…AWATAFUTA KAPOMBE NA TSHABALALA
KOCHA mpya wa timu ya taifa, Mualgeria Adel Amrouche akizungumza na mabeki wa Simba SC, Shomari Kapombe (katikati) na Mohammed Hussein ‘Tshabalala’ (kushoto) baada...
MCHEZAJI SIMBA AKABIDHIWA TUZO… MWANASOKA BORA WA MWAKA…
KIPA wa Simba SC, Aishi Salum Manula akiwa ameinua tuzo yake ya Mwanasoka Bora wa Mwaka wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT) baada...
BOCCO AKABIDHIWA MIL 35…NI ILE AHADI YA MAMA SIMBA…IKISHINDA DHIDI YA...
WAZIRI wa Utamaduni Sanaa na Michezo, Dk. Pindi Chana akimkabidhi Nahodha wa Simba SC, John Bocco Sh. Milioni 35 za ahadi ya Rais wa...
TAIFA STARS YAPAA KUELEKEA MISRI KUIKABILI UGANDA
KIKOSI cha timu ya soka ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, kimeondoka alfajiri ya leo kuelekea nchini Misri kwa ajili ya mchezo wa kufuzu...
KENNEDY MUSONDA MBABE…YANGA SC 2-0 US MONASTIR…DONDOO MUHIMU ZA MCHEZO HUU
KENNEDY Musonda ameivusha Yanga kwenda robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kufuatia bao na asisti aliyotoa leo, Jumapili dhidi ya Monastir kwenye Uwanja...
FT: YANGA SC 2-0 US MONASTIR…CAFCC…BENJAMIN MKAPA…19.03.2023
Wananchiiiiiiiiiìiiiiiiiiii
Usiku wa deni haukawii kukuchwa. Leo ndiyo ile siku tuliyoisubiri kwa hamu kwa Yanga kukata tiketi ya kutinga robo fainali ya michuano ya CAFCC.
Saa...
MAMA SAMIA:- SIMBA NA YANGA WEKENI MAGOLI NYAVUNI…MIL TANO TANO BADO...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameendelea kuwapa nguvu vilabu vya Simba na Yanga ambao wapo kwenye michuano ya kimataifa...
YANGA YAMRUDISHA MATOLA CHAP
BAADA ya Simba Queens kutembeza kichapo cha mabao 7-0 kwa The Tigers Queens ya Arusha sasa hasira za vinara hao wa Ligi Kuu ya...
HALI TETE UWANJA WA MKAPA…MVUA KUBWA YANYESHA UWANJA UMEJAA MAJI
Mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam zimeanza kujaza maji baadhi ya eneo la kuchezea la Uwanja wa Benjamin Mkapa.
Mvua hizo ambazo zimeanza kunyesha...