KAGERA SUGAR YA MOTO BALAA…MZUNGU AMETHIBITISHA…SILAHA MATATA ZATUMIKA
Klabu ya Kagera Sugar inayoshika nafasi ya saba kwenye msimamo wa LigiKuu imetoa wachezaji wanne kwenye timu ya taifa ya Tanzania kujiandaa na mchezo wa…
Klabu ya Kagera Sugar inayoshika nafasi ya saba kwenye msimamo wa LigiKuu imetoa wachezaji wanne kwenye timu ya taifa ya Tanzania kujiandaa na mchezo wa…
Kiungo mshambuliaji wa zamani wa Mamelodi Sundowns Khayelihle Shozi kwa sasa anapitia tatizo la ugonjwa wa akili. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 alipitia…
SIMBA imeshaipa neema Tanzania baada ya kuingiza timu nne kwenye mashindano ya klabu Afrika msimu huu na msimu ujao kwa mara ya tatu mfululizo. Kitendo cha…
Good Morning Mwanamichezo mwenzangu Leo March 16, 2023. Nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya leo Tanzania
Habari ya asubuhi Mwana michezo mwenzangu gazeti la leo Mwanaspoti 16 March 2023
“Sisi ndio tutakuwa timu ya Kwanza kutoka kwenye ardhi ya Tanzania kulileta Kombe la CAF nchini Inshallah, Jumapili tukifanikiwa kutinga Robo fainali nina Imani tutavuka…
Simba mapema tu wamepiga hesabu za kukiboresha kikosi hicho na imebainika ni kuwa wameanza mazungumzo na winga matata wa As Vita, Eric Kabwe kwa ajili…
Kiungo wa Simba SC, Clatous Chota Chama amechaguliwa kuwa mchezaji bora Wiki ya raundi ya nne ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika…
Droo ya Michezo ya Robo Fainali ya Michuano ya Kombe la Azam Sports Federation Cup 2022/23, imefanyika mchana huu huku kila Timu ikipata nafasi ya…
Michezo Ligi kuu soka Tanzania Bara ikiwa ipo raundi ya 25 na imesalia michezo 5 kabla ya kumalizika kwa msimu, takwimu zinaonyesha Klabu ya Yanga…